Pale unapokuwa unapiga Stori na Mpenzi 'Y', ghafla ulimi unakusaliti kisha Mpenzi 'Y' unamuita kwa jina la Mchepuko mwingine

Nyafwili

JF-Expert Member
Nov 27, 2023
2,773
6,881
Habari wana JamiiForums,

Poleni na majukumu ya hapa na pale, kuna ile changamoto huwa inatokea, upo zako na mpenzi wako mnapiga story za hapa na pale, lakini Kwa bahati mbaya, ghafla tu!

Baadala ya kumuita jina lake Mpenzi ambaye upo naye wakati huo, lakini unajikuta unamuita kwa la jina mchepuko mwingine kabisa ndani ya mazungumzo yenu. Huwa mna-solve vipi hili Balaa 🤔??

Dah, mimi huwa naishia kupigwa vibuti tu... 🤒🤒
 
• Habari wana jamiiforums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, kuna ile changamoto huwa inatokea, upo zako na mpenzi wako mnapiga story za hapa na pale, lakini Kwa bahati mbaya, Gafla tu !!!!!. Baadala ya kumuita jina lake Mpenzi ambaye upo naye wakati huo, lakini unajikuta unamuita kwa la jina mchepuko mwingine kabisa ndani ya mazungumzo yenu. Huwa mna-solve vipi hili Balaa 🤔??

• Dah, mimi huwa naishia kupigwa vibuti tu... 🤒🤒
Adapt. Overcome. Improvise
 
• Habari wana jamiiforums, poleni na majukumu ya hapa na pale , kuna ile changamoto huwa inatokea, upo zako na mpenzi wako mnapiga story za hapa na pale, lakini Kwa bahati mbaya, Gafla tu !!!!!. Baadala ya kumuita jina lake Mpenzi ambaye upo naye wakati huo, lakini unajikuta unamuita kwa la jina mchepuko mwingine kabisa ndani ya mazungumzo yenu. Huwa mna-solve vipi hili Balaa ??

• Dah, mimi huwa naishia kupigwa vibuti tu...
mimi niliitwa jina la mwanamke mwingine akanambia ni jina la mama ake sababu ananichukulia kama mama ake,nilivo ndezi nkachekelea na kuamini
 
mimi niliitwa jina la mwanamke mwingine akanambia ni jina la mama ake sababu ananichukulia kama mama ake,nilivo ndezi nkachekelea na kuamini
😅😅😅, Hapo alikuzidi ujanja.. Vipi baadae ulikuja kujua au jamaa alishinda game?
 
Mi ilinikuta maandalizi yashakamilika kabisa bado tu kisu kiwekwe kwenye ala, sijui nilijichanganya wapi nikaropoka jina la pisi nyingine

Na bora hata pisi yenyewe ningekuwa naipenda sana ningesema upendo ulinisukuma, ni shetani tu akiamua kufanya yake hakosi sababu

Na asikwambie mtu kuwa demu akilegea unaweza fanya chochote, maana alivyoswitch kutoka kwenye ile mood na kuwa ninja ghafla mpaka leo sipati majibu mademu huwa wanatuigizia au la

Maana nilinyimwa mchezo wakati tayari tupo kwenye suti ya asili😂
 
🤣🤣🤣🤣, Huwa ni wakali Sana, yani hapo hupigia mstari kuwa huyu kuna mpenzi anaye mpenda zaidi yake.
 
Back
Top Bottom