Wazazi acheni kuwapandikiza chuki watoto wenu wa kike

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Miaka ya nyuma wakati wa likizo ya kidato cha tano kuelekea cha sita niliwahi kutana na binti mrembo tu. Nikamsalimu "mambo", aliishia kunisonya! Ndipo nilipomsogelea karibu na kumuuliza sababu ya yeye kunisonya, aliishia kunitukana zaidi na zaidi. Nikaamua kuendelea na mishe zangu za hapa na pale ilihali moyo umekereka sana!

Siku moja, my dad alinikutanisha na rafiki yake somewhere, yule baba aliniomba kumfundisha mwanae masomo ya ziada nyakati za jioni nitapokuwa napata nafasi, makubaliano yalienda sawa na ndipo kunichukua hadi kwake. Nyakati zile za jioni nilikuwa nakutana na mke wa huyo baba na mwanae wa standard six, kama kawaida nafanya kilichonipeleka pale.

Baada ya wiki moja kupita, mida ya jioni nilielekea nyumbani pale, ndipo kukutana na yule binti aliyenishushia maneno machungu siku zilizopita, alikuwa akiosha vyombo, nikamsalimu mother house, kisha kumuulizia mwanae alipo, kisha kufanya majukumu yangu.

Siku ya nne ya mahudhurio yangu tangu kuonana na yule binti, aliamua kuvunja ukimya na kunisalimu, sikumuitikia! Wiki moja baade, binti alimueleza mama yake! Ndipo nilipokalishwa kikao mle ndani kwa lengo la kusuluhisha.

Kesho yake wakati binti akiwa yeye na mdogo wake niliamua kumuuliza chanzo, alichojibu ni kuwa, imekuwa ni tabia ambayo amekua nayo, sio mara ya kwanza, kaianza tokea utotoni, mama yake amekuwa akimsihi sana kukaa mbali na watoto wa kiume, kujenga uadui nao, kwamba hawafai hata kusogelea au kuzungumza nao!

Kwa machungu niliyokuwa nayo, ilinibidi baada ya wiki moja nitengeneze mahusiano feki kwa lengo la kuchakata mbususu yake ili niondoe kinyongo, hakika nilifanikisha!

Kama sumu ya mama ingelikuwa imefanya kazi kwa 100% nisingemkuta used kiasi hicho!

Ushauri kwa wazazi:
Mtoto wa kike halelewi hivyo kwa kuwekewa ukuta wa uadui kati yake na wanaume! Ata pretend kuwa na uadui pindi utakapokuwa nae karibu, lakini pindi tu utakapokuwa mbali nae, itakuwa ndo nafasi ya uhuru wake!

Mfanye awe rafiki wa kila mwanadamu, muelemishe ili achanganue lipi baya na lipi jema na athali zake, hakikisha unampatia mahitaji yake yote stahiki, usimjengee mwanao nidhamu ya uoga, usimbane bane mwanao!

Anyway, Nimeandika huu uzi baada ya siku ya jana kusonywa tena na binti niliepishana nae njiani bila sababu yoyote ile. Sikumsemesha hata salamu. Njia nzima anatembea huku kauvuta mdomo.
 
Siku ya nne ya mahudhurio yangu tangu kuonana na yule binti, aliamua kuvunja ukimya na kunisalimu, sikumuitikia! Wiki moja baade, binti alimueleza mama yake! Ndipo nilipokalishwa kikao mle ndani kwa lengo la kusuluhisha. Kesho yake wakati binti akiwa yeye na mdogo wake niliamua kumuuliza chanzo, alichojibu ni kuwa, imekuwa ni tabia ambayo amekua nayo, sio mara ya kwanza, kaianza tokea utotoni, mama yake amekuwa akimsihi sana kukaa mbali na watoto wa kiume, kujenga uadui nao, kwamba hawafai hata kusogelea au kuzungumza nao!

Kwa machungu niliyokuwa nayo, ilinibidi baada ya wiki moja nitengeneze mahusiano feki kwa lengo la kuchakata mbususu yake ili niondoe kinyongo, hakika nilifanikisha!

Kama sumu ya mama ingelikuwa imefanya kazi kwa 100% nisingemkuta used kiasi hicho!

Ushauri kwa wazazi:
Mtoto wa kike halelewi hivyo kwa kuwekewa ukuta wa uadui kati yake na wanaume! Ata pretend kuwa na uadui pindi utakapokuwa nae karibu, lakini pindi tu utakapokuwa mbali nae, itakuwa ndo nafasi ya uhuru wake!

Mfanye awe rafiki wa kila mwanadamu, muelemishe ili achanganue lipi baya na lipi jema na athali zake, hakikisha unampatia mahitaji yake yote stahiki, usimjengee mwanao nidhamu ya uoga, usimbane bane mwanao!

Anyway, Nimeandika huu uzi baada ya siku ya jana kusonywa tena na binti niliepishana nae njiani bila sababu yoyote ile. Sikumsemesha hata salamu. Njia nzima anatembea huku kauvuta mdomo.
Mkuu wewe achana nao ikifika 30+ wakina mwamposa wapo wakachukue pesa zao wafanyiwe maombi
 
Miaka ya nyuma wakati wa likizo ya kidato cha tano kuelekea cha sita niliwahi kutana na binti mrembo tu. Nikamsalimu "mambo", aliishia kunisonya! Ndipo nilipomsogelea karibu na kumuuliza sababu ya yeye kunisonya, aliishia kunitukana zaidi na zaidi. Nikaamua kuendelea na mishe zangu za hapa na pale ilihali moyo umekereka sana!

Siku moja, my dad alinikutanisha na rafiki yake somewhere, yule baba aliniomba kumfundisha mwanae masomo ya ziada nyakati za jioni nitapokuwa napata nafasi, makubaliano yalienda sawa na ndipo kunichukua hadi kwake. Nyakati zile za jioni nilikuwa nakutana na mke wa huyo baba na mwanae wa standard six, kama kawaida nafanya kilichonipeleka pale.

Baada ya wiki moja kupita, mida ya jioni nilielekea nyumbani pale, ndipo kukutana na yule binti aliyenishushia maneno machungu siku zilizopita, alikuwa akiosha vyombo, nikamsalimu mother house, kisha kumuulizia mwanae alipo, kisha kufanya majukumu yangu.

Siku ya nne ya mahudhurio yangu tangu kuonana na yule binti, aliamua kuvunja ukimya na kunisalimu, sikumuitikia! Wiki moja baade, binti alimueleza mama yake! Ndipo nilipokalishwa kikao mle ndani kwa lengo la kusuluhisha.

Kesho yake wakati binti akiwa yeye na mdogo wake niliamua kumuuliza chanzo, alichojibu ni kuwa, imekuwa ni tabia ambayo amekua nayo, sio mara ya kwanza, kaianza tokea utotoni, mama yake amekuwa akimsihi sana kukaa mbali na watoto wa kiume, kujenga uadui nao, kwamba hawafai hata kusogelea au kuzungumza nao!

Kwa machungu niliyokuwa nayo, ilinibidi baada ya wiki moja nitengeneze mahusiano feki kwa lengo la kuchakata mbususu yake ili niondoe kinyongo, hakika nilifanikisha!

Kama sumu ya mama ingelikuwa imefanya kazi kwa 100% nisingemkuta used kiasi hicho!

Ushauri kwa wazazi:
Mtoto wa kike halelewi hivyo kwa kuwekewa ukuta wa uadui kati yake na wanaume! Ata pretend kuwa na uadui pindi utakapokuwa nae karibu, lakini pindi tu utakapokuwa mbali nae, itakuwa ndo nafasi ya uhuru wake!

Mfanye awe rafiki wa kila mwanadamu, muelemishe ili achanganue lipi baya na lipi jema na athali zake, hakikisha unampatia mahitaji yake yote stahiki, usimjengee mwanao nidhamu ya uoga, usimbane bane mwanao!

Anyway, Nimeandika huu uzi baada ya siku ya jana kusonywa tena na binti niliepishana nae njiani bila sababu yoyote ile. Sikumsemesha hata salamu. Njia nzima anatembea huku kauvuta mdomo.
Mbushushu.....dah.
 
Kweli Hakika watu tuna tofautiana! yaani mie nikisonywa!!! achia mbali kusonywa mwanamke akinipiga n akajimwiki, kanga mawee ndo linasimama hapo hapo nataka kumla !!...hasa yule anaye kata!!! kakataa!!

Yule Nae mtongoza ananitema mate chini huyooo huyooo!! simuachi
 
Hawa watu bhana na ukiwapuuzia wao ndio wanaumia kabisa

Zamani kuna mitaa nilikuwa nakaa kuna wadada siwasalimii nikipita sio asubuhi sio jion niko na mishe zangu siku moja nakuja nakaribia kufika niingie ndani ya geti uani nawaskia wananisema huyu kaka hasalimii kabisa yaani hivi wewe anakusalimia

Walivyoniona wakashtuka mi nikawaambia tu salamu hailazimishwi wakatulia tuli

Nikaingia ndani
 
ungeomba!
 
Back
Top Bottom