Mwanaume siku ukimjua Mwanamke

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,469
8,294
Kumekua na maneno mengi na vitisho vingi juu ya kutaka kuujua ukweli kuhusu mwanamke .

Ila siku mwanaume ukaujua ukweli huu ndio siku ambayo utakua huru na kukomboka kifikra. Utaishi maisha mazuri bila hofu yoyote.

Ushawahi kujiuliza ni kwa Nini Kuna vitisho vingi Sana pale unapo taka kujua ukweli juu ya wanawake.....? Mfano ..ukimjua Mwanamke ujijue unakaribia kufa. Nk

Nakuapia siku ukiujua ukweli utaacha kufanya Mambo yako kwa kuangalia wanawake...yaani unafanya mambo ili uwe verified na mwanamke...yaani unafanya mambo yako ili mwanamke akupe tiki au kosa huoni Kama huu ni utumwa ....? Yaani unataka kununua suruali nzuri lkn unaijaji Kama ukiivaa wanawake watapenda huoni Kama unajikosea heshima.....? Na siku utakao ujua ukweli huo wote utaona ni upumbavu na ulikua wapi miaka yote kuzinduka.

Wanaume haya Mambo na kazi ngumu tunazo zifanya kwa Nini tusifanye kwa ajiri ya maisha yetu wenyewe ....yaani fanya kazi ngumu kwa ajiri ya kula vizuri...uvae vizuri...utembee sehemu mbalimbali duniani uone vitu vingi vitakavyo kufurahisha na kuongeza siku zako za kuishi na kuachana na Mambo ya wanawake hayo ya kuandikishana wosia vijana wadogo eti utakufa kabla take..we jamaa mbona hujionei huruma.

Hawa watu ukitoa kutuzalia watoto tuwapendao hawana ishu saana Kama tuwafikiliavyo ndio maana Kuna baadhi ya dini zime amua kuwafuja ili mwanaume apete ajiolee atakavyo yeye na huku wengine wameamua kuwatesa wanaume kwa kuwapa mke mmoja ili abanane nacho afe kwa stress za hicho kimwanamke.

Mwanaume usiishi kama funza...unamengi ya kufanya kabla hauja Anza kukimbizana na stress za wanawake. Namaliza kwa kusema mwanamke ni kiumbe wa kawaida saaana Tena Sana kuliko maelezo Wala Hana uspesho wowote kwa mwanaume anae jitambua...Ila Kama wewe ni funza ndio utaona huo uspesho.

NB
Wanaume tujipende, tutafute pesa kwa ajiri yetu na kusaidia wasio jiweza na watoto.... Zilizo Baki tembea duniani
 
Wale wavivu wa kusoma nyuzi ndefu, message ya uzi ni .... Usifanye mambo yako kuwa verified au kufurahisha mwanamke....

On top of that, kuna ka msemo nimekanyaka kwenye meme kanasema... Dont roast a man to make a woman laugh.
Hahaha we jamaa bana
 
Kumekua na maneno mengi na vitisho vingi juu ya kutaka kuujua ukweli kuhusu mwanamke .

Ila siku mwanaume ukaujua ukweli huu ndio siku ambayo utakua huru na kukomboka kifikra. Utaishi maisha mazuri bila hofu yoyote.

Ushawahi kujiuliza ni kwa Nini Kuna vitisho vingi Sana pale unapo taka kujua ukweli juu ya wanawake.....? Mfano ..ukimjua Mwanamke ujijue unakaribia kufa. Nk

Nakuapia siku ukiujua ukweli utaacha kufanya Mambo yako kwa kuangalia wanawake...yaani unafanya mambo ili uwe verified na mwanamke...yaani unafanya mambo yako ili mwanamke akupe tiki au kosa huoni Kama huu ni utumwa ....? Yaani unataka kununua suruali nzuri lkn unaijaji Kama ukiivaa wanawake watapenda huoni Kama unajikosea heshima.....? Na siku utakao ujua ukweli huo wote utaona ni upumbavu na ulikua wapi miaka yote kuzinduka.

Wanaume haya Mambo na kazi ngumu tunazo zifanya kwa Nini tusifanye kwa ajiri ya maisha yetu wenyewe ....yaani fanya kazi ngumu kwa ajiri ya kula vizuri...uvae vizuri...utembee sehemu mbalimbali duniani uone vitu vingi vitakavyo kufurahisha na kuongeza siku zako za kuishi na kuachana na Mambo ya wanawake hayo ya kuandikishana wosia vijana wadogo eti utakufa kabla take..we jamaa mbona hujionei huruma.

Hawa watu ukitoa kutuzalia watoto tuwapendao hawana ishu saana Kama tuwafikiliavyo ndio maana Kuna baadhi ya dini zime amua kuwafuja ili mwanaume apete ajiolee atakavyo yeye na huku wengine wameamua kuwatesa wanaume kwa kuwapa mke mmoja ili abanane nacho afe kwa stress za hicho kimwanamke.

Mwanaume usiishi kama funza...unamengi ya kufanya kabla hauja Anza kukimbizana na stress za wanawake. Namaliza kwa kusema mwanamke ni kiumbe wa kawaida saaana Tena Sana kuliko maelezo Wala Hana uspesho wowote kwa mwanaume anae jitambua...Ila Kama wewe ni funza ndio utaona huo uspesho.

NB
Wanaume tujipende, tutafute pesa kwa ajiri yetu na kusaidia wasio jiweza na watoto.... Zilizo Baki tembea duniani
Uzi mmoja wa kibabe sana
 
Back
Top Bottom