Amani kwenu wadau!
hivi hii imetulia kweli?, Kama ikitokea mwanaume ameenda nje ya ndoa ishu inaonekana ni simple tofauti na mwanamke akitoka nje ya ndoa! Naomba mnisaidie kwanini mwanamke akikosa...
Wana-JF, Heshima mbele!
Hivi kuna ukweli wowote kwamba ikipiga konyagi, valeur, gordon ama gin/spirit yoyote, game yake inakuwa si mchezo??????
Is it scientifically proved? Je wasiokunywa...
Jamani napenda kuwashukuru sana tena sana wale woooooooooooooote tuliokutana fraideiiiiiiiiiiii,ilikuwa pouwa kufahamiana na kubadilishana mawazo mazuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,yale malengo plz...
jamani sinahakika kama limejadiliwa hapa.
Ni hivi mwaka jana nilibaatika kuwa na wanawake 3 kwa nyakati tofauti nilipoanzana na wakwanza baada ya miezi 6 akaanza kuniambia anahisi nimjamzito...
asubuhi tu nimesikia habari moja redioni. dada kaolewa tatizo likawa kupata mtoto. mwisho wa siku ikajulikana mwanamke ndiye mweye tatizo. bahati nzuri mwanaume alikuwa mwelewa, akamchukulia poa...
Wadau,
Mara nyingi watu wanaosafiri sana (hasa watumishi wa taasisi za umma) hupenda kufikia hoteli fulani na kuzoeleka vizuri tu na wenyeji; nimejiuliza sana kuhusu tabia zetu tunapokuwa...
Nimekuwa nikifikiria hii dhana ambayo nimegundua ipo sana na kwa watu wengi kuwa inapotokea mwanamke au msichana akawa anamegwa sana mtaani kwao au maeneo anayoishi huonekana ni malaya, kicheche...
HOT SISTER IN LAW
True story, I was happy. My girlfriend and I had been dating for over a year, and so we decided to get married. My parents helped us in every way, my friends encouraged me...
Jamani naomba anayejua mtu huyu alipo anisaidie kumpata. Anaitwa Mr Carlos Sendwa, alisoma PCB sekondari ya Pugu STream G 1980-82. Wakati huo mimi nilikuwa PCB stream F, mwenyeji wa Mbeya. Wazazi...
Well.. sijaelewa kwanini watu baada ya kupoteana hasa walioachana katika mazingira mazuri hujikuta wanatumia kisingizio cha "kukumbushia". Cha kushangaza mmoja wao au wote wawili wanaweza kuwa...
Ni jambo la kawaida kabisa kukuta mwanaume akijisikia ufahari endapo atabahatika kumega demu ambaye ni bikra. Dhana hii huenda mpaka kwenye ngazi ya familia kuwa wazazi hujisikia fahari endapo...
jamani natumahi wale woteeeeeeeee tunaokutana leo nimewapigia cm kuwa reming plz kama kuna ambaye nimemsahau na ame ni PM no yake plz anikumbushe,mm binadam tena mwenye mapungufu...
wana JF nawasalimu ktk jina la Allah!
Nahitaji mchango wenu katika hili, hivi suala la wanaume kuwa na maneno matamu au ushawishi mkubwa ni kigezo tosha cha kuwafanya dada zetu wasiwe strong...
wana JF nawasalimu ktk jina la Allah! Nahitaji mchango wenu katika hili, hivi suala la wanaume kuwa na maneno matamu au ushawishi mkubwa ni kigezo tosha cha kuwafanya dada zetu wasiwe strong...
mimi sipendi kusema sana ila kwa hili napenda kuweka wazi kwanini kova anaitwa shemeji !!!!mzee kova kuna hawa polisi wako wanakuwa wakilinda sehmu za strehe ama ikitokea fujo wanaitwa mwisho wa...