hivi uaminifu ktk ndoa ni jukumu la mwanamke peke yake au?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi uaminifu ktk ndoa ni jukumu la mwanamke peke yake au??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by arnolds, Jan 18, 2010.

 1. arnolds

  arnolds Senior Member

  #1
  Jan 18, 2010
  Joined: Oct 10, 2009
  Messages: 105
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Amani kwenu wadau!
  hivi hii imetulia kweli?, Kama ikitokea mwanaume ameenda nje ya ndoa ishu inaonekana ni simple tofauti na mwanamke akitoka nje ya ndoa! Naomba mnisaidie kwanini mwanamke akikosa uaminifu ishu inakua ni kubwa mno ukilinganisha na mwanaume?!!

  big up fellas!.
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hapo unatumika mfumo dume kumkandamiza mwanamke na majina kibao malaya fujo kwakwenda mbele sijawahi kusikia mwanaume akiitwa malaya ikawa na nguvu kama kwa mwanamke
   
 3. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Mbona wanaume nao wanaitwa VIWEMBE, KICHECHE AU NANIHII MKONONI?????
   
 4. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  nadhani hapa tatizo ni jinsi jamii inavyoamini kuwa katika suala la ngono mwanaume siku zote yuko sahihi kulinganisha na mwanamke. chukulia hata jinsi ambavyo mwanaume akifumaniwa mwanamke atalazimishwa kusamehe kuwa ni shetani lakini tofauti na mwanamke akifumaniwa ujuwe uwezekano mkubwa ni kuachika na majina kibao yatafuatia. So lazima jamii ibadirike kuhusu haya mambo. Kama kosa limefanyika basi lionekane pande zote.
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mapokeo hayo tuliyonayo,kutoka kwa MABABU ZETU hata kwenye VITABU vyetu vitakatifu mwanamke anaonekana hana haki kama ya mwenzi wake mwanaume. Ni ngumu sana hii issue,sababu tulipokuwa wadogo na mpaka sasa bado nasikia watoto wa kiume wakiambiwa au tukiwaambia eti unalialia nini kama mwanamke, au usiwe lazy km mwanamke, au mambo yake kama ya kike, hapa kichwani mwa mtoto wa kiume inamjenga kuwa OK kumbe mwanamke ni mtu asiye na uwezo kama mwanamme, katika shughuli nyingi mwanamke anatengwa anaonekana kama hafai kuwepo huko ingawa akipewa nafasi anaweza akafanya zaidi ya hata huyo mwanamme. Hii ndo inapelekea hata ndani ya NYUMBA mwanaume anaweza akachinja mtu akiibiwa mke wake wakati yeye MWANAUME anaweza akawa kazaa nje ya ndoa au hata ana VIMADA kibao tuu. Nakumbuka wakati naishi Morogoro miaka ya 1987-1989 kuna Mwalimu wetu alifumaniwa live kitaani akimegwa na mme wa mtu, yule mwalim aibu alihama na shule, lkn yule mme wa mtu watu walimsifia sana tuu dah jamaa mkali kala yule ticha, maana ticha alikuwa kifaa kweli kweli, mke wa yule jamaa mzinzi na yeye akaishia kufarijiwa na watu tu na mmewe kumuomba samahani yakaisha. ILA yule baba ndo angemfumania mkewe anamegwa sidhani km yule mwanamke angerudi salama kwao hahahahaha.Wengine wana sema kutokana na maumbile yalivyo tofauti mwanaume anaingia na kutoka lkn mwanamke anaingiliwa na kuachiwa *****. hii ndo inamfanya mwanaume asipende katu KUMEGEWA. HATA MIMI NTAUA MTU JAMANI. lkn simegi nje kwa heshima ya MAMSAP
   
 6. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Hii kali..... kama ni kweli basi kazi ipo! Na je kama kuna sox anaachiwaje? ASHAKUM SI..M.....SI!
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Jan 18, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Ni kwa sababu ya inflated male ego. Sio haki lakini ndivyo jinsi mambo yalivyo...
   
 8. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siku zote, mapenzi ni socially defined na sio biologically defined. hivyo hayo yote ni mambo ya kijamii na nisehemu ya mapenzi, ni romance kamili. hakuna matatizo.
   
Loading...