tatizo ni ushawishi mkubwa wa kina kaka au uwezo mdogo wa kina dada kufanya maamuzi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tatizo ni ushawishi mkubwa wa kina kaka au uwezo mdogo wa kina dada kufanya maamuzi??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by arnolds, Jan 15, 2010.

 1. arnolds

  arnolds Senior Member

  #1
  Jan 15, 2010
  Joined: Oct 10, 2009
  Messages: 105
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wana JF nawasalimu ktk jina la Allah!
  Nahitaji mchango wenu katika hili, hivi suala la wanaume kuwa na maneno matamu au ushawishi mkubwa ni kigezo tosha cha kuwafanya dada zetu wasiwe strong kwenye kufanya maamuzi? Mimi sidhani kama utakuwa na akili timamu kama utafanya uamuzi Fulani eti kisa jamaa kakushawishi au kang'ang'ania kupita kiasi!! Nawaomba dada zangu mtumie akili kidogo kuwakabili hao makakaz!

  don take it personal, ni mtazamo tu!
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Hii mada mbona tumeshaichangia sana? MOds pls do the needful
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hapa mods mmetuchanganya.....!
   
Loading...