mngechukua uamuzi gani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mngechukua uamuzi gani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Raia Fulani, Jan 16, 2010.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  asubuhi tu nimesikia habari moja redioni. dada kaolewa tatizo likawa kupata mtoto. mwisho wa siku ikajulikana mwanamke ndiye mweye tatizo. bahati nzuri mwanaume alikuwa mwelewa, akamchukulia poa. mwanamke akawa hana amani, akamwita mdogo wake toka bush na kumwomba azae na shemejiye then amwachie mtoto. binti alikataa sana ila mwisho wa siku alikubali. jamaa nae alikataa sana mwisho wa siku alikubali. mara mimba mara mtoto. jamaa akafurahi sana hadi kamnunulia shemeji gari. ikawa siku za shemeji kuondoka zimefika, ila jamaa akatia ngumu shem asiondoke. keshampenda shem kwa gharama yoyote ile hata kama ni kuua. anataka waishi wote pale au mke (dada mtu) mgumba aondoke. wazazi hawajui kinachoendelea. jamaa nae anadai anataka kuishi na aliyemzalia mtoto, na anataka kuongeza wengine. shem nae hakupenda kuharibu ndoa ya dada anataka kuondoka ila jamaa ndo keshapenda. nilijua ni muvi za kinaijeria tu kumbe haya mambo yapo. sasa yakitokea ufumbuzi unakuwaje
   
 2. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Duh!! Uamuzi waliochukua wa mume kuzaa na shemejie haukuwa uamuzi wa busara hata kidogo!!! Ina maana wao hawakujua athari zote hizi? Sijui wafanye nini mimi bana
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  ".....Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi..... "


  Mpaka hapo mwenye jeuri ya kusema ni mwenye ndoa, na anayemiliki cheti..

  Sasa shida inakuja kama hawakuoana kisheria, yaani walibebana tu!

  Suala likienda kwa wazee hilo huyo mdogo mtu anatolewa baru na kuacha mtoto na hana haki yoyote pale, maana hana maandishi...

  Mpumbavu sana huyo, hata kama kamzalia jamaa mtoto, ni kwa hasara yake, ndoa ya dada mtu iko intact!
   
 4. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  huu ndio uamuzi wa busara zaidi.

  suluisho waendelee kuishi wote kwa upendo mkuu. mume akatoe mahari ya pili kwa ajili ya mdogo mtu kisha makamuzi kama kawa lakini kwa zamu bila kunyanyapaa mgumba.

  exellent decision!
   
 5. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mkuu, punguza munkari, kumbuka walifikia muafaka wafanye "upumbavu"!

  watu wazima (tena watatu!) wakikubaliana neno hakuna upumbavu hapo!

  wazingatie walichokubaliana
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Muafaka wa kipumbavu machoni pa sheria ni void!
  Mwenye cheti=mwenye ndoa halali..kwishney!
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mjue kuwa mambo mengine yako nje ya uwezo wetu. mtu anataka mtoto. miaka miwili imeisha, wakwe wamekuwa manyigu, wenzake wana watoto wao. what next. nani anajua huyo bwana angechukua uamuzi gani baadae?
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Shida ya walio wengi including MZIWANDA ni kwamba wanadhani ndoa ni WATOTO...

  HAKUNA KITU KAMA HICHO NYIEEEE!

  Ndoa ni makubaliano ya watu wawili kupendana hadi kifo kiwatenganishe(tafsiri niijuayo mimi, i dont entertain malumbano hapa).

  Sasa, watoto ni ZAWADI katika ndoa, ndio tunavyosema na kuamini...
  Hivi mtu utalazimisha upewe zawadi?..
  Kama zawadi haijatoka, kuwa mpole!

  Kulazimisha watoto wapatikane sio suluhu katika ndoa, bali ni uzinzi..na aziniye na MWANAMKE HANA AKILI KABISA, BIBLE INATUAMBIA HIVYO...NIMEMALIZA!
   
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  u must be so loyal. unasema hivyo kwa vile una m/watoto, au hujajua status yako ya urutuba. asikudanganye mtu, mkuu ndoa bila mtoto au watoto ni bure. watoto katika ndoa ni 'implied' kwa maana kuwa watu wanatarajia ongezeko kati yenu.
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  sASA TUNAPOTOFAUTIANA NI HAPO!

  Unaoa mke wako au wa watu?

  Watu,,,akina nani...wapi.....saangapi...walilipa mahari shiing ngapi...watu...watu...What a fabrication of theory!...huh!

  Mtu anapooa nadhani anakuwa grown up, and he/she can stand on his/her own feet..sasa mambo ya ..WATU... yanatoka wapi...

  Be yourself MZIWANDA, ukiangalia ya WATU A utajiona always na mapungufu!...wake up broda!
   
 11. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #11
  Jan 16, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mtu si kisiwa, mkuu. mtu ni mfumo, so ndoa ni mfumo. unachukua familia 2 na kuziunganisha. kuna mambo yanakubalika kiujumla na mambo yanakataliwa kiujumla, na kuna mambo yanakubaliwa na wawili tu na pia yapo yanayokataliwa na wawili tu. labda utoe tafsiri ya familia tujue, ila ninavyoelewa, tatizo kama hilo likitokea ni lazima ufumbuzi utafutwe. mama aliona mwanaume yuko kimya tu akaamua kuchukua uamuzi ambao anaujutia kwa sasa, ila si kosa lake
   
 12. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  pj anajifurahisha tu. wanwake walivyo wasumbufu, halafu asizae sasa unapomvumilia unavumilia kwa sababu gani nyingine? lazima azae bwana.

  mi natangaza kabisa ndoa ni watoto mengine ni vilemba au achumbari tu!!!!!!!!!!!!!!
   
 13. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #13
  Jan 16, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Baelezee!!!
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Wacheni brutal mentalities hizo nyie!

  Embu simama kwenye viatu vya mwanamke...Suppose wewe mwanaume ndo huzai katika ndoa..what word do yuo tell me?

  Mnijibu sasa hv bila kukwepesha maneno!
   
 15. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #15
  Jan 16, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ningemshauri amuoe mdogo wangu kama yupo au kama sina aoe mwanamke mwingine anayezaa na nitakubali tuwe wawili. hapo vipi????????????
   
 16. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #16
  Jan 16, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kama mimi ndo sizai nashauri atumie serengeti boyz lakini iwe siri yetu asiiseme kwa mtu, na hapo je??????????
   
 17. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #17
  Jan 16, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Usikimbie swali wewe dogo...!
   
 18. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #18
  Jan 16, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  soma no 16
   
 19. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #19
  Jan 16, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kiufupi ningekubali wazo la mke wangu, mtoto azaliwe kisha shem aende zake. tatizo ni kuwa mwanaume alibadilika na kutaka aishi na mdogo mtu, so tatizo hapo sasa ni mwanaume. sina tatizo na mke. hata wewe ungetamani kuwa na damu yako, PJ
   
 20. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #20
  Jan 16, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,307
  Likes Received: 5,641
  Trophy Points: 280
  mkuu, punguza munkari, kumbuka walifikia muafaka wafanye "upumbavu"!

  watu wazima (tena watatu!) wakikubaliana neno hakuna upumbavu hapo!

  wazingatie walichokubaliana

  aaah kumbe ni wapumbavu

  ok sina aja kuwajadili najadili wenye akilizao timamu
   
Loading...