Hii bikra hiiiii....Kulikoni??!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii bikra hiiiii....Kulikoni??!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sajenti, Jan 15, 2010.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ni jambo la kawaida kabisa kukuta mwanaume akijisikia ufahari endapo atabahatika kumega demu ambaye ni bikra. Dhana hii huenda mpaka kwenye ngazi ya familia kuwa wazazi hujisikia fahari endapo binti yao anapoolewa atakuwa bado bikra.. Na wengine hata humu jf hufikia hatua ya kuponda demu atayemkuta hana bikra kuwa ni used.. Hivi kuna lolote la maana kwenye bikra hii? Kwa mfano unaoa mke bikra akishazoea,wakati kuna mtu ameoa hiyo used na maisha ni burudani tu. Kunani na hizi bikra??
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Jan 15, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hii ni alama ya kuwa Binti amejitunza au tuseme amelelewa vema. Na hii inasymbolize tabia njema ingawa si lazima itoke kwa kudoiwa
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Jan 15, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Siipendi hii phrase!!!!
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  sumalee aliwaambia yeye Chungwa alimega kama cheza
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  sio bikra!....sema kawaida tu BIKIRA
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  AMIINAAA NJOO NIKUTUME KWA KINA AISHAAA,MWAMBIE AISHA AAJEEE
  KAMA HATAKI USIMBEMBELEZE,MWAMBIE KABISA ASIIJEEE

  ...basi chuungwaaa,nalimenya mimi kama cheenzaa
  ..na lishamegwaa na waume wenzaaa

  wengi wameolewa na machenzaa
  ndoa zao wameshindwa kuzitunza
   
 7. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ndugu yangu nilidhani mimi tu? unajua heshima lazima iwepo na leo X-Pin amesema ni siku ya heshima kwa wadada so nakubaliana na yeye. Lakini kwani hata binti anapoonekana kuwa ametolewa bikra ( ambayo wengi hutolewa kwa kumegwa) huonekana kama mtu aliyekosa maadili? Kwa nini heshima na utu wake usionekane katika mafanikio ya ujumla katika jamii. Kwa mfano binti amesoma mpaka level ya university kama binadamu aliyepevuka akiwa huko kamegwa na huo ubikra umepotea kamaliza shule kapata ajira yake nzuri na maisha yanaendelea na siku hizi watu wamevumbua mtu akitaka kuoa anajitahidi kwanza ampachike na mimba mwanamke. Tena hiyo ndio huleta simamnzi sana kwenye baadhi ya familia. NIliwahi kuhudhuria harusi moja bi harusi inasemekana alikuwa na ujauzito wa miezi mitano shangazi wa bi harusi akawa mkali kwa baba wa binti kuwa hakumchunga mtoto. Vipi hapa??
   
 8. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kumchunga kivipi??? alitaka afungwe kama mguuni??? zingine bwana huwa ni personal decisions hata kama umelelew na maadili yapi????
   
 9. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  yani bikira ni heshima kubwa kwa mwanamke na ni zawadi pekee anayomzawadia mume wake na sio tgo
   
 10. M

  MalaikaMweupe Member

  #10
  Jan 15, 2010
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Unyanyasaji tu
  :rolleyes: WAKUBWA nyie!
   
 11. bht

  bht JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  na mume humzawadia nini mke??? (out of curiosity)
   
 12. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  acheni ubeijing hapa, waahaurinini mabinti watunza bikira zao hadi waolewe, fuuuuuuuul stoooooooooooop!!!!!!!!
   
 13. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ishu ya mabikira ni nyeti sana. mimi kwa kweli nikipata demu la kuoa yused nitakuwa nalikanyaga bila hata huruma hata tigo kama inalipa linaliwa tu, kwani haya ndiyo huropoka huko nje sijui hakunifikisha kishumundu, mara ooo sikufika mwisho wa reli!!!!!!! kama wangekuwa bikira huko kwa vidume wao kila kitu wangejifunza huko na kuwa proud ka chochote hata kidogo wangeridhika, sio huu uchafu wa siku hizi.

  mademu bwana kila siku wanasababbisha matatizo!!! kha!!!!!!!!
   
 14. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #14
  Jan 15, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Akili kichwani, kulikuwa na ulazima wa kusema yote haya? Umeenda mbali mnoooo!

  Annina
   
 15. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #15
  Jan 15, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nilipokuwa Gold Moshi Secondary School Mwalimu mmoja alikuwa anaitwa Samki alikuwa anapenda kuquote Msemo mmoja " It is very easy to to educate an Africa but it is very difficult to remove the bush ideas from his/her mind"

  Hakika Maneno haya ya,etimia leo kwa Huyu Member anayeitwa Akili Kichwani
   
Loading...