Pombe Kali na Mapenzi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pombe Kali na Mapenzi!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Katikomile, Oct 9, 2009.

 1. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Wana-JF, Heshima mbele!

  Hivi kuna ukweli wowote kwamba ikipiga konyagi, valeur, gordon ama gin/spirit yoyote, game yake inakuwa si mchezo??????

  Is it scientifically proved? Je wasiokunywa pombe inakuwaje, ama ndo iption ya KIFARU!
   
 2. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Unajua mapenzi yana uhusiano mkubwa sana na mind, sasa ukipiga pombe kali unachukua muda mrefu sana lakini pia hautakuwa una-enjoy kwa kuwa mind tayari inakuwa disturbed. Menu ya kueleweka na mazoezi kidigo yanakufanya uweuna-enyoy kuliko hizo pombe kali.
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,478
  Trophy Points: 280
  Kwa sisi wazoefu hatuhitaji msaada wa pombe. Kitu mwakemwake wakati wowote. Ila ukilamba ka valeur, tuache masihara kina dada huwa wanapata habari yake.
   
 4. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  hahahah Sina cha kuongeza hahaha tetetete
   
 5. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Mkuu, hata uji wa ulezi pia unasaidia sio pombe kali tu...
   
 6. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Karanga je?
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Tatizo baada ya hapo, je unabaki na any memory of what you have done? umeshajiuliza madhara ya state unayokuwa nayo ukiwa na konyagi au other spirits - ni hivi, unaaza kuwa careless, na cha ziada ni kwamba kwasababu ya kuchelewa kumaliza, unaanza kuvua ili umalize yaishe!!!

  Take it from me, it is a very risky behaviour!!
   
 8. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  hahahaaaa! hahahaa tehe tehe - kubali yaishe. lakini labda uwe unakunywa ukijipanga kichwani, la sivyo haifanyi kitu, si unajua kila kitu kipo kwa kichwa?
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160

  True mkuu, ni weli wanaipatapata, na miharufu ya pombe pia mazee!
   
 10. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  unajidai....huna lolote.
   
 11. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ile kitu utamu wake unakolea zaidi ukiifanya ukiwa na akili timamu, unaisikilizia na akili zako zote bila kuingiliwa na pombe, hapo mwana unainjoi. Lakini ukinywa pombe bwana unadumu sana ndio lakini hufurahii, yaani unakuwa kama unalima vile, mechanically tu bila akili kupata starehe yake.
   
 12. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kaaaaaaaaaaaaaaaazi kwelikweli,
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,478
  Trophy Points: 280
  Nilijua tu siwezi kutoka salama huku bila kupingwa.
   
 14. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2009
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Mambo yote no thupu ya pweza, tende na maziwa
   
 15. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ee bwana tuko pamoja!hii kitu iliwahi kuniletea matatizo
   
 16. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hapa ta mie sina la kuongea
   
 17. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  matatizo gani?
   
 18. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45

  Kwani wewe huonagi tofauti kwamba leo ka-valuu kametandikwa ama leo fire extinguishers aka kilimanjaro lager zimepigwa???????????????
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  wakati wa ujana wangu,nilikamata valuu,nikamix na redbull,expecting kwamba mchuchu atakuja.Mara hakutokea,alitaitiwa kwao.

  Vip,are u interested to know what happened thereafter?
   
 20. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45

  Bafuni bila shaka kama si housegirl!
   
Loading...