Msaada: Namtafuta Carlos Sendwa, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Namtafuta Carlos Sendwa,

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lekanjobe Kubinika, Jan 15, 2010.

 1. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Jamani naomba anayejua mtu huyu alipo anisaidie kumpata. Anaitwa Mr Carlos Sendwa, alisoma PCB sekondari ya Pugu STream G 1980-82. Wakati huo mimi nilikuwa PCB stream F, mwenyeji wa Mbeya. Wazazi wake walikuwa wanaishi Mikocheni (?), ni mhehe wa Iringa.

  Tulipoteana kiaina hata sielewi, enz hizo hakukuwa na urahisi wa mawasiliano kama sasa. He was a very good friend of mine. Siku moja nadhani 2002 niliwona maeneo ya Muhimbili akitoka kupitia geti la MUHAS, nilikuwa kwenye daladala na sikufanikiwa kumshawishi konda asimame nishuke kumwona huyu bwana, niliporudi nikakuta ameshaondoka, nadhani alipanda daladala.

  Why important now? Ihave remembered this friend so much that I feel it fair to start tracing him through this platform. Nikijua yuko wapi lazima tutafanya kila njia tukutane na angalau tusalimiane. Nimesoma nao watu wengi lakini this guy was special of his kind.

  Do me a favour, please.

  Leka
   
 2. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2010
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  sio mahali pake hapa.kaweke kule kwenye matangazo
   
Loading...