Siri Zetu mahotelini na Guest Houses | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri Zetu mahotelini na Guest Houses

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by TIMING, Jan 14, 2010.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wadau,

  Mara nyingi watu wanaosafiri sana (hasa watumishi wa taasisi za umma) hupenda kufikia hoteli fulani na kuzoeleka vizuri tu na wenyeji; nimejiuliza sana kuhusu tabia zetu tunapokuwa wasafiri kama kunywa pombe, kujichanganya na hata sometime kufanya mambo adimu.. mara nyingine unakuta wake za watu au waume za watu wakinywa au kukaa pamoja mda mrefu sana mpaka inatia wasiwasi

  sasa je;

  • hivi hizi hoteli huwa tunaweza kwenda na familia zetu au wapenzi wetu?
  • Je haiwezekani baadhi ya siri kuvuja kutoka mahotelini hadi kwa malavi davi wetu?
  • kuhusu ule utundu, hivi wafanyakazi wa mahoteli wanaweza kweli kuamini wapenzi wao wakiwa safari?
  Hebu nishusheni presha
   
 2. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  sasa tukiacha hayo mkuu, faida ya safari iko wapi? na zile per diem wanatoa za nini?

  mie kabla sijaja huku kupiga kitabu, nilikuwa na ka-kibarua fulani hapo bongo na siku moja bahati ikaniangukia kwnda arusha siku saba. nakwambia kufika tu night nikaibuka na totoz moja matata sana, we shughuli yake usipime, hata mlango wa nyuma unapigwa denda hadi unatakata na dekio linaingizwa kidogo ndani, .......... we mara unahisi kajoto kidogo, ukibinhjuka hivi kamtarimbo kanatema chehche utadhani.......... eh. mambo yale usipime, matamu mwe!!!!!!! safari zidumu zaidi!

  nawasilisha!
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Na huo ndio mtihani, je ukirudi tena arusha.. utafikia hiyo hoteli na darling wako?
   
 4. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Jibu hoja mzee acha "preambles".. Ebu wewe kama umeoa au huko ulikotoka (uliko kuwa unafanyia kazi ukiwa Bongo) ulikuwa na mpenzi/kimada/ Mchumba/hawara nk nk, roho yako ilikuwa katika hali gani wakati ukiyafanya haya???. Na kama umeoa/ ulikuwa/ una mpenzi, umeitifautishaje hii starehe unayosifia na ile ya mkeo/mpenzi wako. Uliporejea toka Arusha, uli "feelage" kukutana tena na mkeo/ mpenzi wako na huyo "EVA" aliyekudatisha huko Arusha alikuwa bado mkichwa kwa muda gani???na kiasi gani cha hizo "perdiems" zilikutoka kama gharama ya kununua hilo pumziko la muda.

  La mwisho, Je, ukisikia mkeo/ Mpenzio amesafiri na jamaa kikazi au whatever, utakuwa ukimfikiriaje wakati yupo mbali nawe??? na kama ukisikia zaidi kuwa "aliguswa kimwili" kidogo akiwa huko safari utafanyeje kwa hilo???
   
 5. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kwa kweli sijaoa, lakini nitakapooa sikusudii kusafiri na wife hata siku moja, ataninyima raha bure, labda kuwepo na emergency.

  mzee umeuliza maswali kibao mpaka sijui niibu nini niache nini.

  any wei suala la kurudi tena pale ndio nitarudi nikijisikia kidume zaidi kwani si nimeacha makoloni eneo hilo?

  per diem ngoja ziteketee mwanawani, ile raha si mchezo, eneo la kutolea haja lina lambwa kama pipi, we unafikiri utakumbuka elfu salasini? eti padiemu, thubutu!
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Thanks mkuu, unajua mara nyingi tunapenda kuangalia upande mmoja... haya mambo ya watu wakiwa safari yakiwekwa hadharani samtaims ni fedheha mazee

  Do we dare go back there with our beloved??? Mh... hell no! why?? GUilty...
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Watu wakiwa safari usipime, wale wahudumu wa gesti wanahifadhi siri nzito sana. waume za watu huwamega sana wale
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Na hao wanaovuta toka nje au wale waliosafiri pamoja je?? Its just pathetic
   
 9. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ndio maana wengi wao hawana waume wala wake wanazaa tu pasipo kuolewa wala kuoa. I can proove this with evidence
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Yaani nimekaa naobserve mambo yanavyokwenda kwenye haya mahoteli au guest house kwa muda sasa... ikija kutokea jua likawaka ghafla saa saba usiku sijui itakuwaje!!! haya majumba yamebeba siri nyingi sana
   
Loading...