tatizo ni ushawishi mkubwa wa kina kaka au uwezo mdogo wa kina dada kufanya maamuzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tatizo ni ushawishi mkubwa wa kina kaka au uwezo mdogo wa kina dada kufanya maamuzi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by arnolds, Jan 15, 2010.

 1. arnolds

  arnolds Senior Member

  #1
  Jan 15, 2010
  Joined: Oct 10, 2009
  Messages: 105
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wana JF nawasalimu ktk jina la Allah! Nahitaji mchango wenu katika hili, hivi suala la wanaume kuwa na maneno matamu au ushawishi mkubwa ni kigezo tosha cha kuwafanya dada zetu wasiwe strong kwenye kufanya maamuzi? Mimi sidhani kama utakuwa na akili timamu kama utafanya uamuzi Fulani eti kisa jamaa kakushawishi au kang’ang’ania kupita kiasi!! Nawaomba dada zangu mtumie akili kidogo kuwakabili hao makakaz!

  don take it personal, ni mtazamo tu!!
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Maamuzi yepi ndugu yangu maana maamuzi yako ya aina nyingi, na kwenye mambo mengi hata kama ni uhusiano.....
  The bottomline is wote hushawishika kutegemeana na wakati/mahali, hali mhusika aliyo nayo ( furaha, upweke, amani, ugomvi,kujiamini etc)..... na inategemea huyo mshawishiwa ana trade-off nini kwa wakati ule.....
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  this is nature!.............
   
 4. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2010
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Amani iwe juu yako pia!
   
 5. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2010
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
   
 6. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  na wakiwa waangalifu kidogo tu, tumeumia!!!!!!!!!!!

  mi nafikiri waendelee hivyohivyo nasi tufaidi!!!!!!!!!
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  ushawishi kwenye nini sasa ? kutongoza ,kutoa maamuazi ya kijamii au?
   
 8. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Au maamuzi kwenye kuvaa au kutokuvaa kondomu? :) Mwambie afafanue!
   
 9. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Mbona mnaumia kila siku bila hata kujitambu akuwa mnaumia?
   
 10. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Kuumia halafu uwe hujui kwamba unamia ni sawa tu! Na ndio maana mambo mengine tunasema ni NATURE! Nasi tukisema kwamba tunaumia kwa hiyo tushtuke, wanawake wataumia zaidi!
   
 11. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2010
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  najaribu kuelewa ila napata sana ugumu wakuelewa kila kitu hapa,wakina nani wanaumia na kwalipi hasa?
  wanaumia au wanaumizana?
  maana ninacho fahamu mimi nikua,"waweza jua kua unakula,kumbe na wewe pia unaliwa bila ya kujifahamu"
   
 12. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  SM
  HII NI MADA NYINGINGE.....tuendelee kuchangia hii ya udhaifu katika kufanya maamuzi na kudanganyika/kushawishika.
   
 13. arnolds

  arnolds Senior Member

  #13
  Jan 15, 2010
  Joined: Oct 10, 2009
  Messages: 105
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nashukuru waungwana,
  sioni sababu ya kufafanua zaidi coz am 100% mmenisoma nazungumzia nn!!..tusikwepe tatizo, kwa miaka nenda rudi limekua jambo la kawaida kusikia toka kwa kina dada kwamba wanaume ni laghai na hawaaminiki!. Kama habar ndo hyo kwann wasijifunze kupitia kwa wenzao ambao yameshawakumba!?.

  Pamoja JF..
   
Loading...