The jumbo jet is just coming into Pearson Airport (Toronto) on
its final approach. The pilot comes on over the intercom.
"This is Capt Johnson. We're on our final descent into Toronto. I
want to...
Sasa umeolewa na una mme unayesema unampenda. Tumekutana baada ya miaka hii yote. Tulikuwa marafiki wa karibu hadi watu "walidhania". Sasa tumekutana unanilaumu.. kwanini sikukuomba moyo wako...
ni ndoa chache zenye uwezo wa kuishi bila mitafaruku ya ajabu katika kipindi chote cha kuwa wawili. vipindi vya mapenzi na uchumba huwa tofauti na kipindi cha kuwa ndani ya ndoa. watu husema mengi...
A wife said desperately to her husband:
Hello Honey!! Where are u??"
The Husband answered confidently: "What!!
Where am I???...
In the office of course!!"
Wife:
"Are you sure you are at...
Jana usiku nilikuwa nasikiliza radio free afrika (RAF) kipindi cha tiba mbadala kinachoendeshwa na mtu anayejiita Dr. Isaac Ndode. Katika maelezo yake huyu bwana akadai kuwa mwanaume anapofanya...
Kuna dada mmoja tumetokea kuzoena kiasi cha kuwa na relationship. Kabla ya kumegana, katika kuandikiana sms nikamwambia nitakupitia jioni ukanionjeshe. Dada wa watu alinimind sana akasema...
UMUHIMU WA KITCHEN PARTIES NI KWA MABINTI TU?
Ndugu zangu kwa muda sasa nimekuwa ninajiuliza. Hivi hizi Kitchen parties wanazofanyiwa mabinti siku chache kabla ya kuolewa zinawasaidia kweli hao...
Hivi karibuni tulikutana na Mtaalamu mmoja kutoka Cuba. Alitueleza kwamba huko kwao VVU na Ukimwi siyo tatizo kwa sababu mfumo wao afya unafuatilia kila mtu na kama kuna mgonjwa anashughulikiwa...
When a man steals your wife, there is no better revenge than to let him keep her.
Lee Majors
After marriage, husband and wife become two sides of a coin; they just can't face each other, but...
MDOLI wa kwanza mkubwa wa kike na wenye umbo kamili kama la binadamu (robot) unaojulikana kama rafiki wa kike umezinduliwa nchini Marekani ambao ni bora zaidi kuliko iliyowahi kutengenezwa huko...
Hamjambo ndugu zanguni za JF?? za masiku kaka na dada zangu??? Niliwamiss kweli katika kipindi hiki kifupi ambacho sikuweza kuwa jamvini kwa sababu za ugonjwa. Lakini nimerudi mzima wa afya kwa...
The perils of young Egyptians' secret marriages
Young couples are trying to find ways around Egypt's conservative attitudes to sex before marriage
By Yolande Knell
BBC News, Cairo
In...
Wanajamii kwa mtazamo wangu nimeona kuwa mapenzi kwa sasa yanachanganya sana kiasi kwamba mtu ukifikiria sana unaweza kuibuka na uamuzi kuwa ni bora usijiingize kabisa kwenye huo ulimwengu wa...
Je, ni Sababu ya Msingi?
Swali:
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 29 nilioa ndoa takatifu kanisani miaka miwili iliyopita na tumekuwa na wakati mgumu sana (migogoro) na mke wangu.
Ni miezi sita...
Wana JF,
Kuna hii kitu nataka kushea na nyie.
Watu wote waliooa, waumini wa dini zote wanakutana na rabsha na matatizo mbalimbali katika maisha yao ya ndoa, na matatizo mengine hufikia hatua...
Marafiki, wasomi, wana jamii wenzangu na hata wapenzi wangu, leo ni World tell me day, hivyo basi naomba mniambie kila kitu, iwe siri au mambo ya kawaida. Yote nitayaweka moyoni (in confidence)...
Adha ya mvua jijini imenifanya nimkimbize wifi/shemeji yenu uswazi maana nimeona jamaa wanao toa msaada wa kumvusha kwenye madibwi kama wanafaidi hivi. Bora nimsogeze mjini tu.
Hapa jamaa akiwa...