Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Chonde choNDE chonde first lady mnaomba hiyo nafasi ya first man kama iko wazi
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Jamani hapa ndani pamepooza sana leo kulikoni mabinanu ?? mna mikasa imewakumba weekend mbona hivi???
0 Reactions
177 Replies
13K Views
New Year's resolution: Have more sex By Elizabeth Cohen, CNN Senior Medical Correspondent January 7, 2010 8:46 a.m. EST Sadie Nardini and her husband decided to have sex every day in December...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
A proposed anti-gay law could make Uganda perhaps the most dangerous place for homosexuals and drive the gays of Uganda further underground. In a rare interview, the first of its kind with a...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo ni siku ya wanawake wasio na bikira duniani;kauli mbiu ni "JUTIA BIKIRA YAKO" uliyoipoteza muheshimu sana alieitoa na umkumbuke kama mlishaachana'kwanza amekufanya mkubwa na amekusaidia...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
kuwa na uhusiano na housegal/huseboy/shemejio/ ni tamaa/mapenzi/ukosefu wa maadili au?
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Hakika tunampenda sana binti yetu wa miaka mitatu(3). Karibia kila mtu akimuona ana msifie kuwa ni binti mzuri sanaaa wa sura (cutie) . Kwa kuwa rafiki yangu mmoja aliwahi kulieleza madhara ya...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Jamani jamani hali ni mbaya! Kuna jamaa ana mpenzi wake ambaye anadai wanapendana sana! Kuna kipindi walitaka kuoana na alipotaka kumtambulisha nyumbani kwao mama mzazi wa kijana alipinga na...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Wapendwa, Nipo kwenye serious mahusiano na kwa mapenzi ya Mungu tunaweza kufunga ndoa. Tatizo nina wivu kupita maelezo, yaani saa zote nahisi kuibiwa...kwa mfano kuna siku nilikuta amempa lift...
0 Reactions
285 Replies
25K Views
  • Closed
Zamani walisema watu wa mashariki ya kati wamekubuhu kwa mchezo huo wa mapepo. Sasa watu wa magharibi wameruhusu hadi ndoa za jinsia moja. Dini za mashariki ya kati zinajulikana, na zile magharibi...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Kwa muda mrefu nimechunguza sana juu ya uhusiano wa MAVAZI na MAPENZI(LOVE).Nimegundua wapendanao wengi wa kiume na kike hupenda sana kuvaa mavazi yanaleta mvuto kwa namna moja au nyingine,na hili...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nyamayao naomba unisamehe but nimepata wazo toka kwenye post yako moja- Je wapwa mnasemaje juu ya adhabu ya kunyimwa gemu!! Hapana tusiite adhabu bali kwa mfano umembore/umemkosea mwenza mf...
0 Reactions
104 Replies
9K Views
...Low self-esteem! ...Katika maisha ya mapenzi na ndoa mjihadhari sana na masimango ambayo yatampelekea mtu ajione kumbe yeye si lolote si chochote kwako. ...mtu aliye suffer low-self esteem...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa kwenye relationship ya up and down na nimeteswa kinoma. Tumezaa mtoto na huyu mwanamume lakini alivyosikia mi mja mzito akaanza kuwatongoza wanawake wengine na nikasikia anafunga ndoa...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari jamani, Kuna jambo moja binafsi linanisumbua akili yangu saana, Kwa uchunguzi wangu mdogo nimegundua kuwa Maeneo ya pwani, namaanisha Tanga, Dar, Mombasa, Kuna tabia ambayo siyo nzuri...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Rihanna and her new boyfriend. Rihanna and Matt Kemp: Rockin' the Boat
0 Reactions
79 Replies
9K Views
Jamani Mola kanijalia mtoto wa kiume anafanana na baba yake na babu yake sijui kama tabia zitafanana na baba yake na babu yake, pia nimempa jina la babu yake sijui atakuwa na tabia za babu yake...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu jana usiku nusura apigwe na wananchi wenye hasira baada ya kukutwa akimchungulia mtu aliyeko ******, kama mjuavyo wadau nyumba zetu za kitaani choo cha nje...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
RDC Jurua and wife Josephine Akello serving nurses with a wedding cake after they exchanged vows on Ward 6C By Ayiga Ondoga PATIENTS at Mulago Hospital witnessed a rare spectacle on...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
http://news.yahoo.com/nphotos/South-African-President-Jacob-Zuma/photo//100104/481/1110e0c2cf5446108098a06bf83f304b//s:/ap/20100104/ap_on_re_af/af_south_africa_zuma#photoViewer=/100103/481/70aafab9...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom