Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 412
Jana usiku nilikuwa nasikiliza radio free afrika (RAF) kipindi cha tiba mbadala kinachoendeshwa na mtu anayejiita Dr. Isaac Ndode. Katika maelezo yake huyu bwana akadai kuwa mwanaume anapofanya mapenzi na kupiga mshindo mara moja hufupisha uhai wake kwa dakika 3. That means kila mshindo unapunguza dakika 3 katika uhai wa mwanaume. Hili lina ukweli wowote jamani?. Vipi wale walio kwenye ndoa ambao kumegana na wake zao nio order of the day?? Mkuu X-pin na vikuku vyako vya kienyeji huko uswazi unasemaje?