Kuonja hairuhusiwi?

Ambassador

JF-Expert Member
Jun 2, 2008
933
75
Kuna dada mmoja tumetokea kuzoena kiasi cha kuwa na relationship. Kabla ya kumegana, katika kuandikiana sms nikamwambia nitakupitia jioni ukanionjeshe. Dada wa watu alinimind sana akasema aniojeshe kwani karanga? Akasema halafu ukishaonja? Inaonekana kumbe muonjaji tu! Nilifanya kazi ya ziada kumbembeleza akanielewa mpaka "kunionjesha". Baadae akaniambia alimuuliza rafiki yake mmoja BF wako akikwambia umuonjeshe utamwambiaje? Rafiki yake akamwambia yeye ataona poa tu kwani ni wapenzi na haina maana mbaya, kwa hiyo atamuonjesha.

Jamani, sisi wengine tumezoea kuropoka ingawa si kwa nia mbaya. Je nilifanya vibaya kumwambia vile mpenzi wangu?
 
Tuliza mwana..si umeshaonja tayari?? Kuropoka kwako kumekusaidia..Utaonja tena au??
 
Well sasa umeshaonja utamu unaujua kilichobaki ni kula tuu.
My advice to you is halalisha weka ndani ujilie kiustaarabu.
 
maadamu umeonja umeshaona utamu wake chukua jumla sasa au lengo lako nn sema nayy ayupo makini kukuonjesha bila kujua malengo yako mana sasa unaweza kuona si tamu utafuta ingine kwa mtindo huu ukimwi takwisha lini
 
Ulionja au mlionjana?...na kuonja ni lazima usikilizea radha, na kwa radha huwezi kuipata ukitumia mpi......ra...wa....ki..u..me...au wa ki...ke!. vinginevyo, mnahitaji kuonjana tena!mpaka uikute radha!.
 
Kuna dada mmoja tumetokea kuzoena kiasi cha kuwa na relationship. Kabla ya kumegana, katika kuandikiana sms nikamwambia nitakupitia jioni ukanionjeshe. Dada wa watu alinimind sana akasema aniojeshe kwani karanga? Akasema halafu ukishaonja? Inaonekana kumbe muonjaji tu! Nilifanya kazi ya ziada kumbembeleza akanielewa mpaka "kunionjesha". Baadae akaniambia alimuuliza rafiki yake mmoja BF wako akikwambia umuonjeshe utamwambiaje? Rafiki yake akamwambia yeye ataona poa tu kwani ni wapenzi na haina maana mbaya, kwa hiyo atamuonjesha.

Jamani, sisi wengine tumezoea kuropoka ingawa si kwa nia mbaya. Je nilifanya vibaya kumwambia vile mpenzi wangu?
Suala hili ni nyeti sana kwa jamii yetu hasa wakati wa sasa, jamii ambazo zinaishi pamoja na jamii nyinginezo ambazo zina maadili na mila na desturi zinazokwenda kinyume na sisi.

Kama wewe ni muumini wa dini hakika ni madhambi kwa mwanamme na mwanamke kufanya tendo la ndoa kabla ya kuoana. Mnatakiwa mjitahidi upeo wa uwezo wenu kuomba msamaha kwa kosa hilo. Hakika Mwenyezi Mungu ni mwingi wa huruma na mwingi wa kusamehe

Tunamuomba Allah (Subhaanahu wa Ta‘ala) Awawezeshe musiwe ni wenye kurudia tena jambo hilo, mpaka mfunge ndoa.
 
Ivi uzinzi si mke wa mtu kamegwa na mume wa mtu!Je asiye mke then akamegwa asiye mume!!!!!!!!!!:::::::::::::>>>>>>
 
Huyo dada mlikuwa mnatakana siku nyingi, si ajabu hata usingeropoka angekugawia mwenyewe.. Maana hawa madada zetu wa siku hizi anaweza akakuzimia kwa kitu kidogo sana,, Je Huyo dada ana Mume? na wewe una mke au mchumba? ANGALIA usije ukaonja asali ukachonga na MBUYU kabisa..

'IKIMBIENI ZINAAA'
 
Tuliza mwana..si umeshaonja tayari?? Kuropoka kwako kumekusaidia..Utaonja tena au??

Hivi kuonja kuna mara mbili mkuu? Nadhani ukishaonja inabaki kula. Au ni kama jikoni kila ukiongeza kiuongo unaonja? Teh teh teh.
 
Well sasa umeshaonja utamu unaujua kilichobaki ni kula tuu.
My advice to you is halalisha weka ndani ujilie kiustaarabu.

Mh, boss, sidhani kama utamu tu ndo kigezo cha kuweka ndani, kina mambo mengine ya msingi ya kuzingatia a.k.a tabia.
 
Ulionja au mlionjana?...na kuonja ni lazima usikilizea radha, na kwa radha huwezi kuipata ukitumia mpi......ra...wa....ki..u..me...au wa ki...ke!. vinginevyo, mnahitaji kuonjana tena!mpaka uikute radha!.

We Ngoshwe chizi kweli. Kuonja ni kuonga tu, inategemea unataka kupata ladha ya mpira au live. Ni sawa na kuota moto, ukiwa mbali kidogo unasikilizia fresh, kwa nini usiingize miguu kabisa jikoni upate ladha nzuri ya moto?
 
Suala hili ni nyeti sana kwa jamii yetu hasa wakati wa sasa, jamii ambazo zinaishi pamoja na jamii nyinginezo ambazo zina maadili na mila na desturi zinazokwenda kinyume na sisi.

Kama wewe ni muumini wa dini hakika ni madhambi kwa mwanamme na mwanamke kufanya tendo la ndoa kabla ya kuoana. Mnatakiwa mjitahidi upeo wa uwezo wenu kuomba msamaha kwa kosa hilo. Hakika Mwenyezi Mungu ni mwingi wa huruma na mwingi wa kusamehe

Tunamuomba Allah (Subhaanahu wa Ta‘ala) Awawezeshe musiwe ni wenye kurudia tena jambo hilo, mpaka mfunge ndoa.

Nimekupata XP, Wala takrabu zina, au sio?
 
Huyo dada mlikuwa mnatakana siku nyingi, si ajabu hata usingeropoka angekugawia mwenyewe.. Maana hawa madada zetu wa siku hizi anaweza akakuzimia kwa kitu kidogo sana,, Je Huyo dada ana Mume? na wewe una mke au mchumba? ANGALIA usije ukaonja asali ukachonga na MBUYU kabisa..

'IKIMBIENI ZINAAA'

Wote tuko "single and seeking"
 
Kuna dada mmoja tumetokea kuzoena kiasi cha kuwa na relationship. Kabla ya kumegana, katika kuandikiana sms nikamwambia nitakupitia jioni ukanionjeshe. Dada wa watu alinimind sana akasema aniojeshe kwani karanga? Akasema halafu ukishaonja? Inaonekana kumbe muonjaji tu! Nilifanya kazi ya ziada kumbembeleza akanielewa mpaka "kunionjesha". Baadae akaniambia alimuuliza rafiki yake mmoja BF wako akikwambia umuonjeshe utamwambiaje? Rafiki yake akamwambia yeye ataona poa tu kwani ni wapenzi na haina maana mbaya, kwa hiyo atamuonjesha.

Jamani, sisi wengine tumezoea kuropoka ingawa si kwa nia mbaya. Je nilifanya vibaya kumwambia vile mpenzi wangu?

Ana umri gani huyo?
Vipi ulivoonja alitoa ushirikiano?
Ulikuta tayari used?
Baada ya kuonja, uliona utamu wake?
Vipi utaonja tena au utakula kabisa?
Kwangu mimi sioni kama uliropoka. Ulitaka kuonja, kwanini usiombe kuonjeshwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom