Mdoli mkubwa wa ngono wa kike wazinduliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdoli mkubwa wa ngono wa kike wazinduliwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kimatire, Jan 19, 2010.

 1. kimatire

  kimatire JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2010
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 365
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  MDOLI wa kwanza mkubwa wa kike na wenye umbo kamili kama la binadamu (robot) unaojulikana kama “rafiki wa kike” umezinduliwa nchini Marekani ambao ni bora zaidi kuliko iliyowahi kutengenezwa huko nyuma  Ubunifu wa mdoli huyo ajulikanaye kama Roxxxy, akiwa na akili kamili ya kitaalam na ngozi ya kuvutia kama ya binadamu, umewavutia watu wengi katika maonyesho ya kila mwaka ya burudani ya watu wazima huko Las Vegas , Marekani.

  “Mdoli huyo hawezi kufanya mambo kadhaa kama vile kupika na kadhalika, lakini anaweza kufanya kitu chochote kingine iwapo unanielewa ninamaanisha nini,” alisema Douglas Hines, rais wa kampuni la TrueCompanion, lililotengeneza mdoli huo wa mpira wenye urefu wa futi 5 na inchi 7, na ambao umegharimu Paundi 4,000.

  Mbali na mdoli huo kuwa “tayari kwa kitendo”, moyo wa mashine wa mdoli huo, unasemekana unaweza kumvutia mwanamme yeyote kwa “upole”.

  “Katika tendo la ngono, mdoli huo hukupa utakacho ikiwa ni pamoja na kuzungumza nao, kwani hukusikia, kukusikiliza na kuongea. Isitoshe huwa unapata hisia wakati unaushika na pia huwa unalala,” anasema Hines kwa kuwahakikishia wateja wake.
  “Tunajaribu kuhakikisha tunatengeneza kitu ambacho kinafanana na binadamu,” anaongeza.

  Mdoli huo ambao unajulikana kama mpenzi aliyetoka kwenye maabara, una sehemu zote zilizomo katika mwili wa binadamu na kwa vipimo vilevile, japokuwa hauwezi kujongea, lakini unaweza kuzungumza.
  Mdoli huo ambao hivi sasa unauzwa Ulaya na Marekani, hatimaye utapatikana duniani kote
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  mambo mengine ...ubatili mtupu ..
   
 3. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Waelewa maana ya neno hili? Ni kweli mdoli kazinduliwa ubatili u wapi?
   
 4. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Sasa nye%o basi, ila anagharimu kuliko mahari ya mtoto wa kisukuma!
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  haijarishi mie nimeelewaje kwangu mie ni ubatili sijui kwako na uelewa wako Mkaa Mweupe.
   
 6. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Baaasssii...!
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  dah wenye domo zege wamepona
   
 8. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #8
  Jan 19, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ni ubatili mtupu kwa maana mademu ni watamu sana
   
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  naona sasa ndoa za watu ziko mashakani
   
 10. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kweli huyaonapo mambo haya mjue mwisho upokaribu mwenye macho aone mwenye masikio na asikie
   
 11. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kazi ya uumbaji haina mfano. Doli litaendelea kuwa doli tu. Bebu lione jinsi linavyotisha

  [​IMG]
   
 12. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  And they call it invention!


  Annina
   
 13. m

  mayala luswetul Member

  #13
  Jan 19, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lete picha hiyo tuione
   
 14. m

  mayala luswetul Member

  #14
  Jan 19, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  PC yangu ilikuwa haijafunguka sawasawa na ndiyo maana nikaomba picha tuione lakini mashindano na muumba hayafai
   
Loading...