Uaminifu (100%) ktk ndoa inawezekana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uaminifu (100%) ktk ndoa inawezekana?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kahamba, Nov 11, 2010.

 1. K

  Kahamba Member

  #1
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika siku za karibuni tulikuwa ktka maongezi vijana wenzangu kadhaa me na ke mchanganyiko. Katika kuchangia mojawapo ya hoja nikasema "Siwezi kuwa na nyumba ndogo wakati mke wangu nampenda na nimemchagua mwenyewe". Ajabu ni jinsi nilivyoshambuliwa na wasikiizaji wangu, (wenye ndoa na wasio na ndoa) kuonyesha kutokubaliana nami huku wakisema "Unayasema kwa kuwa tu umeoa juzi".

  Sasa naomba msaada wemu wadau, je, Inawezekana kuwa na mwanandoa mwaminifu 100%? Na kama ndiyo, ni wangapi ktk 100?
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  inawezekana san
  kuna wanaume na wanawake ambao ni waaminifu sana
  -kuiga ndo kunasumbua siku izi wanawake na wanaume wanaona kuswap nje ni km fashen vile usipokuwa na nyumba ndogo unaonekana km mshamba vile...
  -UKIMCHAGUA EVA WAKO /ADAMU WAKO BILA SABABU ZA MATERIALS(ukimpata wa real love nawe ukampenda kwa dhat) BASI utaona anakutimizia maitaj yako yooooooooooote so haina haja tena ya kwenda nje
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  possible 100%
   
 4. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ?! Wapo waaminifu na kadiri maisha yanavyokenda wengind wanashindwa
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Haiwezekani hata kidogo!:nono:
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  naunga mkono hoja!....
  MSISITIZO:hili swali lijibiwe na watu wanaoishi na wanawake/wanaume majumbani mwao.....!i mean watu waliooa/walioolewa
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Wanawake wakianza kuvaa baibui na kuacha kuvaa vimini na tight trousers basi wanaume wengi hawatashawishika kirahisi kuchapa out
  Wanaume wakijishughulisha saana katika kutafuta mshiko na kufanya mazoezi ya kutosha badala ya kukaa bar na kutandika kilaji baasi wanawake wengi hawata washawishi kirahisi
   
 8. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawezi kukutimizia yooote kwa wanadamu tumeumbwa na mapungufu...jamani wakitulia na wake zao akina mama kubwa sie soko litakufa
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  inawezekana
  inawezekana
  wapo
  wapo
  wapo
  km haujawai ona bas pole
  kuna watu si mapadre na wala si masista lakin wana ucha mungu+wanamuogopa mungu kiukweli so hawez akaitenda dhamb i
  -kuna watu wanapendana kiukweli..na ukimpenda mtu kiukweli autopenda fanya lolote la kumuumiza (ATA KM HATOJUA KM UMESWAP NJE)..
  WATU HAWA WAPO WAAMINIFUUUUUUUUUUUUUU MPK RAHA....
   
 10. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani wanaotoka nje ya ndo ni wanawake au? We hatauone nini kama mwaminifu utabaki hivyo tamaa kama ipo hata sabuni utatumia
   
 11. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  tunaomba uzoefu wako hapa ''praktikale''

  mambo ya KUNA WATU....!hatutaki
   
 12. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  wanawake wanaweza kuwa 100% LAKINI KWA WANAUME NGUMU SANA, anaweza asiwe na nyumba ndogo, lakini anakuwa anagongagonga vibata vinavyojitokeza, mimi huwa naziita kazi za nje,
   
 13. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hahha hahha aya mama
  mimi siwez kukubishia wewe mbwiga yangu .....soko litakufa siyo?apana bwana wachache ni waaminifu lakin weng wao ndo ivo vidig dig vnaruka ruka tu..
  KWAN FINEST HAAMINIK?
  unarud ln?
   
 14. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mmm pana ka ukweli hapo maana niliwahi msikia binti mmoja anasema " Na siye tulale na nani, ama tulale na MBWA" eeeh
   
 15. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kumekucha!!!!!!
  me n st roy!!!!!!
  nimekujibu??????
   
 16. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  inshort LOVE & TRUST ni ngumu sana.. ila inawezekana kama mkifanana "KITABIA"
   
 17. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Na ndizi na tango etc utavitumia tuuu
   
 18. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  sema ukweli bwana!....
  hiyo mambo ya KUNA.......KUNA......!not real
  shusha dataaz as per your exiperience kwenye ndoa yako.

  roya sio muoaji,na hajawahi kuoa!kama alikwambia amekuoa amekudanganya....!ni hawara ako tu yule
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  awe na ndoa ngap jaman?
  ni mimi na yeye tu ndo tuna ndoa
  ivi tulisahau kukupa kad eennh
  mweee tusamehe
  dig dig mwenzako alkuja...ajakupa salam?
   
 20. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  roya ni towashi....!hawezi kuoa
   
Loading...