Kwa kawaida bidhaa inapokuwa dukani ili inunuliwe inabidi uiweke mahali inapoonekana ili iuzwe,sasa nawauliza dada zangu mnapovaa nguo za kuonesha maungo yenu nyeti mnakuwa mmeweka bidhaa sokoni?Kama ni ndiyo muwe mnaweka na lebo ya bei kama supermarket!!!!
Biashara matangazo kaka bila matangazo utavutiwaje kuichukua bidhaa hiyo.........
mh ni fashion tu jamani kwani akinadada tunapenda fashion mpya,
we chunguza ikija kuwa fashion ya kufunika mwili gubi gubi na wadada wakaipenda utaona wote wamefunika......ombea hiyo ije sasa hutaona kiungo chochot mmmh ila kina dada shughuli ipo mweee:yield: