Who's DINAHICIOUS?

Status
Not open for further replies.

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2008
Messages
2,508
Likes
15
Points
135

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2008
2,508 15 135
JAMANI, hivi huyu mdada anayeitwa jina hilo hapo ni nani?

Kwa wale wanaomfahamu, anayo blog yake fulani hivi, na anavyoandika, nimeshindwa kumpima ni mwanamke wa kisasa kiasi gani, ana pepo la ngono kiasi gani na ni mtu wa aina gani.

Kwa wanaomfahamu tafadhali, kwasababu unaweza kushangaa ni mfanyakazi au mtu celebrity ambaye pengine nimeshamwona mara nyingi.
 

Easymutant

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2010
Messages
2,579
Likes
566
Points
280

Easymutant

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2010
2,579 566 280
Nadhani ushawahi kumsikia jina halisi anaitwa Edna Peter before hajaja Dar alikuwa anatangaza na kituo kimoja cha redio cha Jijini Arusha, Triple A fm.. umjini umemkaa siku izi anajiita hivyo baada ya kuajiriwa na Clouds fm,
 

MUSINGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
439
Likes
157
Points
60

MUSINGA

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
439 157 60
Nadhani ushawahi kumsikia jina halisi anaitwa Edna Peter before hajaja Dar alikuwa anatangaza na kituo kimoja cha redio cha Jijini Arusha,
Triple A fm.. umjini umemkaa siku izi anajiita hivyo baada ya kuajiriwa na clauds fm,
acha uongo kama humjui mtu usiandike upupu,Dina Marious ni mwingine na huyu ni mwingine kwanza hayuko TZ,pitia Blog yake ndio utajua tofauti zao
 

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
44,101
Likes
28,671
Points
280

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
44,101 28,671 280
..huyu dada nampenda kweli yani nipo radhi nifanye kitu chochote kwa ajili yake ....na tafadhali hakuna kumponda hapa kwenye hii thread kwani mi ndio hivo tena kwake ..sorry kama ameolewa
 

MUSINGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
439
Likes
157
Points
60

MUSINGA

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
439 157 60
wengi tumejifunza mengi kupitia Blog yake ila ndio hivyo wasukutua vinywa hawakosekani,nampenda sana na mungu amzidishie moyo huo wa kugawana kila alichonacho
 

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Messages
4,066
Likes
1,078
Points
280

babu M

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2010
4,066 1,078 280
Tutasema ukweli tu usijali she is not married!
Useja una kazi...nimekwenda ku check kwenye profile yake anasema ameolewa(hapo chini)
About Me

Najulikana kwa wengi kama Dinah(linatamkwa diina/dena)ni kifupi cha jina langu. Nilizaliwa Dar miaka mingi iliyopita, nikasoma Elimu ya awali mikoa tofauti alafu nikamalizia Elimu ya Sekondari hapa Dar, kisha nikawa nazuga mtaani mpaka wakati ulipofika wa kujiunga na Elimu ya juu na hatimae kufanya kazi kama mwandishi wa Habari na Mtangazaji. Baada ya muda nikaamua kubadili fani na kuendelea na masomo ya juu ambayo nilikwenda kuyamalizia Uingereza. Sasa najaribu kugawa muda kati ya Kazi na majukumu kama Mke. Nikipata muda nakuja hapa kulibeneka!
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,203,521
Members 456,791
Posts 28,116,913