Moja ya makosa wapendanao hulifanya ni kutaka kumbadilisha mwenzi wako kutoka tabia aliyonayo awe kama vakavyo,for your imformation hakuna binadamu mwenye uwezo wa kumbadilisha binadamu mwingine,kama atabadilika ni kwa muda tu na mara nyingi watu hupretand kubadilika wakati penzi jipya akikuzoea anarudia tena kwa kiwango kikubwa,au kama ni mwanamke atajidai kubadilika kwa sababu ya ubabe wa mwanaume akikuzoea atarejea kwenye tabia yake zaidi ya zamani,kama mwenzi wako anatabia unataka msubirie siku ana furaha mwite kwa upendo wa hali ya juu mwambie kwa mahaba,usimlazimishe,baada ya hapo endelea kumounesha upendo mkubwa