Jamani nipeni RUKSA mama wa miaka 56, i am 24yrs

Wameiba Kura

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
390
3
huwezi amini, si natunga, ni kweli, mm nafanya kazi nzuri ya Uhasibu hapa Dar, nimemaliza Chuo, nina GF, na huyu mama alikuwa na mumewe alipata ajali Sept. 2008 so she is single now, na anamaisha mazuri tu, mm nakaa si mbali naye, hata yy anamjua my GF alivyo Mrembo, t.a.ko nyeupeeeee, sasa huyu mama ana miaka 56, anajitunza, anamzigo wacha, kila siku mara simu, mwanangu nakusalimia maana naakuamini kweli, nakupenda ulivyo pia, hunywi pombe, mtulivu, handsome, tall mambo kibao, mara weekend anakuja home, i am alone na mtoto wa kazi, sometimes anamkuta my GF, hajali, ana watoto 3, wa mwisho she is 29 yrs, kaolewa, akija home akijua my GF hayupo anakuja na kanga moja yaani vituko, mara paja nje, t.a.ko hilo mmmhhhh, she is white, saffffiiiii too, jamani mm mwanaume huyu ni jrani pia niambieni, nihame au nimfukuze au.. nile..... ukimwona anajiheshimu si mlevi, mapepe ila nimemwambie asinipigie simu usiku, asema atajaribu, yaani yupo hot kwangu balaaaa, msaada plse
 
Zion Daughter

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
8,921
4,224
Si bure.Hili ni pepo la ngono linakusumbua.Unahitaji msaada wa kiroho zaidi.
Nakushauri uwahi kwa Kakobe fasta kwa msaada wa haraka.
 
Wameiba Kura

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
390
3
yaani hata kakobe akimwona hata weza vumilia, i am serious, kakobe mbona anakamua tu, nipe njia nzuri niepuke mitego plse
 
Zion Daughter

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
8,921
4,224
yaani hata kakobe akimwona hata weza vumilia, i am serious, kakobe mbona anakamua tu, nipe njia nzuri niepuke mitego plse

Una uhakika na unayosema khusu Kakobe? wewe naona hauhitaji msaada..unataka kuendelea na uzinzi.
lakn Njia nzuri ni kununua kufuli la chuma na ulifunge huko ikuluni kwako....nadhani hapa utapona na mitego kama hutaki msaada wa maombi.
 
MUSINGA

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,033
1,161
huwezi amini, si natunga, ni kweli, mm nafanya kazi nzuri ya Uhasibu hapa Dar, nimemaliza Chuo, nina GF, na huyu mama alikuwa na mumewe alipata ajali Sept. 2008 so she is single now, na anamaisha mazuri tu, mm nakaa si mbali naye, hata yy anamjua my GF alivyo Mrembo, t.a.ko nyeupeeeee, sasa huyu mama ana miaka 56, anajitunza, anamzigo wacha, kila siku mara simu, mwanangu nakusalimia maana naakuamini kweli, nakupenda ulivyo pia, hunywi pombe, mtulivu, handsome, tall mambo kibao, mara weekend anakuja home, i am alone na mtoto wa kazi, sometimes anamkuta my GF, hajali, ana watoto 3, wa mwisho she is 29 yrs, kaolewa, akija home akijua my GF hayupo anakuja na kanga moja yaani vituko, mara paja nje, t.a.ko hilo mmmhhhh, she is white, saffffiiiii too, jamani mm mwanaume huyu ni jrani pia niambieni, nihame au nimfukuze au.. nile..... ukimwona anajiheshimu si mlevi, mapepe ila nimemwambie asinipigie simu usiku, asema atajaribu, yaani yupo hot kwangu balaaaa, msaada plse

ni nyumbani tu ndio tuna mambo ya age sijui na madude gani sehemu nyingine hilo si tatizo,sikiza moyo wako kama vipi kula mzigo
 
MTWA

JF-Expert Member
Aug 5, 2009
1,155
159
Wewe unasema ametulia., si mlevi. Lakini kwa maelezo yako naona hajatulia na anakutaka tu wewe, Atakuharibia very soon

Acha tamaa kwa huyo mama, Tulia na GF wako. Baadaye ataanza kukufuga kama kitoto cha mbwa, halafu nawe utaona aibu hata kwa wenzio, na hapo hata GF wako utakuwa umemkosa

Acahna na huyo mama
 
MTWA

JF-Expert Member
Aug 5, 2009
1,155
159
Hiyo ,iaka ni michache sana, Huyo ni mama yako kabisaaaaaa!
Achana naye haraka. Tena mkwepe kama ukoma!
 
thanks man, i will do my best
 
Wameiba Kura

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
390
3
Una uhakika na unayosema khusu Kakobe? wewe naona hauhitaji msaada..unataka kuendelea na uzinzi.
lakn Njia nzuri ni kununua kufuli la chuma na ulifunge huko ikuluni kwako....nadhani hapa utapona na mitego kama hutaki msaada wa maombi.

Sijawahi hata kumgusa mwili wa huyo mama, ila nimesema anajigonga hadi karaha, na si kwamba ni mama wa dhiki ana maisha saaafiiiii,si kwamba anataka pesa kwangu nimwonavyo, ala, almost maisha yake yanalingana na yangu, mm kuomba mawazo yako si uzinzi mpendwa, maana umesha ni group as if i did adultery, msaada dada stop kunihukumu
 
MTWA

JF-Expert Member
Aug 5, 2009
1,155
159
thanks man, i will do my best

Dont just do your best, do it strictly, umri wako mdogo sana, yeye ndiye fataki wa kike. Atakuharibia, na ninakuona kabisa baada ya mda unampigia magoti tena yule GF wako, naye atakuwa na mwingine
 
Wameiba Kura

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
390
3
Hiyo ,iaka ni michache sana, Huyo ni mama yako kabisaaaaaa!
Achana naye haraka. Tena mkwepe kama ukoma!

Thanks ila huu mshipa huu, ukiamka sometimes unaniendesha, u know what i mean, yaani ukiwa na AFYA tele taabu ukiwa mgonjwa taabu, ss wanadamu tumeumbwa mateso tupu, huyu mama namjua for 7 years now, nani kama mwaka mmoja sasa vituko acha, sijui kazidiwa au? ananipa moyo eti mm mtu wa aibu, wanaume hawako hivyo, eti anasema my GF hawezi jua ss ni watu wazima, na amefika mbali kasema hta vunja uhusiano wangu na my GF, hadi sasa my stand is NOOOOOOO, many thanks MTWA
 
Wameiba Kura

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
390
3
Dont just do your best, do it strictly, umri wako mdogo sana, yeye ndiye fataki wa kike. Atakuharibia, na ninakuona kabisa baada ya mda unampigia magoti tena yule GF wako, naye atakuwa na mwingine

Got u, still my stand is big NOOOOOOOOOO
 
Genekai

R I P
Feb 9, 2010
12,521
4,964
Kama umeomba ushauri ukiwa na uamuzi tayari basi sina mchango ila kama unatafuta ushauri ndo uamue basi ni hivi
Amri ya Sita ya Mungu wa Kikristo ;(Kama wewe Mkristo) Usizini ambayo inaendana na Usifanye Uasherati
Kimaadili; basi vumilia hadi ufunge ndoa na huyo Mchumbaako
Kwa mila za kiafrica ni kuwa haiingii akilini MWANAMUME kufanya ngono (mnayaita mapenzi) na mwanamke mwenye umri mkubwa kuliko huyo mwanamume
Barabarani; kama unaendesha gari, zaidi ya kuangalia kwenye vioo elekezi vya pembeni, usigeuze geuze shingo lako kuangalia pembeni.
take it or leave it si umetaka ushauri?
 
queenkami

JF-Expert Member
Feb 8, 2010
1,351
655
kijana jiepushe na huyo mama,tena kata mahusiano na mazoea naye kabisa.hatari hiyo
 
Ndahani

Platinum Member
Jun 3, 2008
17,892
8,730
I think you have already made up your mind. Why do you aski for an advise?
 
tzjamani

JF-Expert Member
Oct 9, 2010
995
30
Thanks ila huu mshipa huu, ukiamka sometimes unaniendesha, u know what i mean, yaani ukiwa na AFYA tele taabu ukiwa mgonjwa taabu, ss wanadamu tumeumbwa mateso tupu, huyu mama namjua for 7 years now, nani kama mwaka mmoja sasa vituko acha, sijui kazidiwa au? ananipa moyo eti mm mtu wa aibu, wanaume hawako hivyo, eti anasema my GF hawezi jua ss ni watu wazima, na amefika mbali kasema hta vunja uhusiano wangu na my GF, hadi sasa my stand is NOOOOOOO, many thanks MTWA

Huyo ni kaka mama yako.

Shetani au tamaa ukiamua kutumia kichwa cha chini itakuwa nomaa. Ikimbie zinaa.

Naona bado unataka kujaribu kwa huyo mama. Mazoea na kuongea naye tayari yanakupa nguvu. Achana naye.... Ngoma nje nje kaka. mambo ya eti nitatumia kinga. kesho ume sahau.......................
 
Zion Daughter

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
8,921
4,224
Sijawahi hata kumgusa mwili wa huyo mama, ila nimesema anajigonga hadi karaha, na si kwamba ni mama wa dhiki ana maisha saaafiiiii,si kwamba anataka pesa kwangu nimwonavyo, ala, almost maisha yake yanalingana na yangu, mm kuomba mawazo yako si uzinzi mpendwa, maana umesha ni group as if i did adultery, msaada dada stop kunihukumu

Maandiko yanesema ukitamani ushazini...na isitoshe ushaanza kusifia..mara **** jeupe ,mara analipa..hizo zote ni dalili za tamaa.
Halafu kumbuka ukitaka kupona usikatae ukweli..
Uzinzi sio tatizo la mtu mmoja ,its a Global crisis.
 
St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,417
3,952
Hapo ndio faida ya ulevi inapoonekana,ungekuwa mlevi wala asingekufuata na wewe wala usingekuja humu kuomba ushauri.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom