Niwangapi wanatamani kukutana na hawa wana jf?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,393
8,150
Nikawaida ya mwanadamu kuona kile anachokiamini je niwangapi wanatamani wangekutana live na hawa wenye user's name hizi??Nyamayao,Firslady1,Preta,Rose1980,Mwanajamii one,BigMama,thefinest,kibweka,EL Toro,Ndibarema,Katavi,Bujibuji,Kituko,Mwasu,Mwanakijiji,Sister sisita,Rutashubanyuma,fidel80,Pakajimmy,dreamliner,Gaijjin,Kakajambazi,acid,kakajambazi,Baba_enock,Rev Masanilo,Fixed Point,Funza dume,Kaizer,Asprin,Smiles,bht,Buchanan,Baba gft,Chauro,Daughter,Maralia Sugu,Paka Mweusi,Dreamer,Dem amsi,Invisble a.k.a Robot,Painkiller,Masiki_Jeuri,Maty,Kimey,Nyani Ngabu,Mchukia ufisadi,Da Sophy,Roya roy,Katerero,KakaKiiza,?<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/doh.gif" border="0" alt="" title="Doh" smilieid="169" class="inlineimg" />Msanii,Safari_n_Safari, tafadhali tupo pamoja!!
 

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,447
Nikawaida ya mwanadamu kuona kile anachokiamini je niwangapi wanatamani wangekutana live na hawa wenye user's name hizi??Nyamayao,Firslady1,Preta,Rose1980,Mwanajamii one,BigMama,thefinest,kibweka,Ndibarema,Mwanakijiji,fidel80,Pakajimmy,dreamliner,Gajjin,Kakajambazi,acid,kakajambazi?

Mbona hujaweka wanaCUF na CCM? hahahahahahhhh
 

bacha

JF-Expert Member
Aug 19, 2010
4,282
789
Nikawaida ya mwanadamu kuona kile anachokiamini je niwangapi wanatamani wangekutana live na hawa wenye user's name hizi??Nyamayao,Firslady1,Preta,Rose1980,Mwanajamii one,BigMama,thefinest,kibweka,Ndibarema,Mwanakijiji,fidel80,Pakajimmy,dreamliner,Gajjin,Kakajambazi,acid,kakajambazi,Babaenock,Rev Masanilo?

Mi natamani kuwatia machoni hao tu!!!
 

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
10,295
5,857
nikiwaona sitaona ladha ya kuchat nao hapa jukwaani. bora nibakie kizani kuwasiliana nao maana nisije nikakutana na mkwe bureeee
 

Dreamliner

JF-Expert Member
Jan 17, 2010
2,036
209
Nikawaida ya mwanadamu kuona kile anachokiamini je niwangapi wanatamani wangekutana live na hawa wenye user's name hizi??Nyamayao,Firslady1,Preta,Rose1980,Mwanajamii one,BigMama,thefinest,kibweka,Ndibarema,Mwanakijiji,fidel80,Pakajimmy,dreamliner,Gaijjin,Kakajambazi,acid,kakajambazi,Baba_enock,Rev Masanilo,Roy roy?:doh:Msanii tafadhali tupo pamoja!!

Hao wengine nikiwaona, nitawafanyia TEA party kwani nitakuwa na furaha iliyopitiliza... Huyo kwenye RED nooo!
 

Kituko

JF-Expert Member
Jan 12, 2009
9,559
9,251
Gud idea..mi napenda kukutana na wadau wote wa JF.

avatar29396_2.gif


Kaka Lufunyo, hii avator inamwenyewe, na tunamjua, amekuruhusu kuitumia? au ndio wewe BOFLO, umebadili jina?
 

Zneba

Senior Member
May 12, 2010
192
7
Nikawaida ya mwanadamu kuona kile anachokiamini je niwangapi wanatamani wangekutana live na hawa wenye user's name hizi??Nyamayao,Firslady1,Preta,Rose1980,Mwanajamii one,BigMama,thefinest,kibweka,Ndibarema,Bujibuji,Mwanakijiji,fidel80,Pakajimmy,dreamliner,Gaijjin,Kakajambazi,acid,kakajambazi,Baba_enock,Rev Masanilo,Funza dume,Kaizer,Asprin,Smiles,Invisble a.k.a Robot,Painkiller,Masiki_Jeuri,Maty,Kimey,Nyani Ngabu,Roya roy,Katerero,KakaKiiza,?:doh:Msanii tafadhali tupo pamoja!!
kiukweli mi na hamu na hawa hapa
 

Smiles

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
1,231
107
Nikawaida ya mwanadamu kuona kile anachokiamini je niwangapi wanatamani wangekutana live na hawa wenye user's name hizi??Nyamayao,Firslady1,Preta,Rose1980,Mwanajamii one,BigMama,thefinest,kibweka,EL Toro,Ndibarema,Katavi,Bujibuji,Kituko,Mwasu,Mwanakijiji,fidel80,Pakajimmy,dreamliner,Gaijjin,Kakajambazi,acid,kakajambazi,Baba_enock,Rev Masanilo,Funza dume,Kaizer,Asprin,Smiles,bht,Baba gft,Chauro,aughter,Dreamer,Dem amsi,Invisble a.k.a Robot,Painkiller,Masiki_Jeuri,Maty,Kimey,Nyani Ngabu,Roya roy,Katerero,KakaKiiza,?:doh:Msanii,Safari_n_Safari, tafadhali tupo pamoja!!

Mimi huyo zaidi...ili ni-prove kama robot kweli au....:becky:
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom