KUEPUKA OPERATION, njia ya uzazi ujifungue salama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KUEPUKA OPERATION, njia ya uzazi ujifungue salama

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Wameiba Kura, Nov 14, 2010.

 1. Wameiba Kura

  Wameiba Kura JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani naona wanawake wengi wanalalamika kuwa njia zao za uzazi sometimes ni ndogo, eti wafanye mazoezi, eti kwsbb ni mtoto wa kwanza, nk hivi vina ukweli kwa almost 20%, ila ukitaka upata mtoto vizuri, na kukwepa operation, kaa karibu na mumeo, awe na anashughulika hadi almost siku kama 4 au 3 kabla ya kuijifungua, awe anakupa mamboz, kupanua njia ya uzazi, watch out asiingize ndani sana, almost 4 inches is enough to enlarge outlet, now some positions are not good during preginancy, eg Fully Doggie is not recommened, hii itasaidia saaaaana kuongeza njia ya uzazi na kuzaa salama, sasa nasikia kuna wanawake wakiwa na mimba hawataki kumwona mumeo, ooooohhh, hapo unakaribisha operations, wacha mumeo achape chape mashine iapanuke vizuri, then mtoto mwenye afya tele huyoooooooo, na mama atakuwa safiiiiiiii
   
 2. k

  kisukari JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,753
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  sio lazima iingizwe 4 inches,hata yote iingizwe tu hakuna madhara yoyote yale.mtoto akiwa tumboni mwa mama,anakuwa safe kabisa kwani huwa ndani ya mfuko wake maalum.sijui kiutaalam inaitwaje
   
 3. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu wangapi wana uume saizi ya mtoto? wengine itabidi tu tuazime kutoka kwa punda
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Nov 14, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  we hi umeipata wapi hii.....
  we umewahikujaribu???
   
 5. Nipigie

  Nipigie Senior Member

  #5
  Nov 14, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  usidanganye watu, if you have any scietific proof then let us know.
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  Nov 14, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  wameibakura, naona ww umezaliwa baada ya uchaguzi huu. Njia ya kupita mtoto hupanuliwa na vichocheo vya uzazi(reproductive hormones). Hormones za uzazi zinaletwa na balanced diet+lifestyle.
   
 7. n

  ngoko JF-Expert Member

  #7
  Nov 14, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Punda !!! hii kali
   
 8. J

  Jof Member

  #8
  Nov 14, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Punda tena, hy ile kitu ya Punda ikizama yote c abortion jamani.
   
 9. n

  ngoko JF-Expert Member

  #9
  Nov 14, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yawezekana theory anayojaribu kuiput forward Wameibakura ni extension ya lifestyle... Lol
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  Ama kweli mkono wa........................huandika popote...................................
   
 11. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #11
  Nov 14, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Mambo mengine yanafanana na story za bar vile, !!!
   
 12. e

  ejogo JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2010
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Acha kudanganya watu! That's a very local thinking!
   
 13. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #13
  Nov 14, 2010
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Mfuko unaitwa Omniotic sac
   
 14. WABUSH

  WABUSH JF-Expert Member

  #14
  Nov 14, 2010
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kunauhusiano kweli hapa! hizi naona ni chai na pahali pake ni kwenye Udaku corner
   
 15. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #15
  Nov 14, 2010
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Wabush umenena, akili zilizopevuka hujadili maendeleo si udaku, ila maoni yangu yasichukuliwe kama ni kupinga mjadala huu usiendelee, endeleeni kwa time na raha zenu!!!!
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  Nov 14, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,034
  Trophy Points: 280
  we nawe.....nyie ndio wale mnaosema baba akiingiza sana atamtoboa mtoto utosi........crab
   
Loading...