Ipi ni sababu sahihi ya kufanya mapenzi (tendo la ndoa)?

Mabel

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
1,273
678
Ipi ni sababu sahihi ya kufanya mapenzi (tendo la ndoa)?
1. Kufanya mapenzi ili kuonyesha upendo kwa mpendwa wako
2. Kufanya mapenzi ili uzae (kupata watoto)
3. Kufanya mapenzi ili kutimiza wajibu
4. Kufanya mapenzi ili kutimiza matamanio ya kimwili
5. Kufanya mapenzi ili kumlinda mpendwa wako
6. Kufanya mapenzi ili kujipatia kipato
7. Kufanya mapenzi kwa starehe tu
8. Kufanya mapenzi ili kutimiza matakwa ya mpendwa wako
9. Kufanya mapenzi kama zawadi kwa umpendae
10. Kufanya mapenzi kwa sababu za kiafya
Je, wewe uko wapi?
Heshima kwenu
 
Mi ni sababu za kiafya....kujiweka fit

Mabel mbona kama nakufahamu>
 
Ipi ni sababu sahihi ya kufanya mapenzi (tendo la ndoa)?
1. Kufanya mapenzi ili kuonyesha upendo kwa mpendwa wako
2. Kufanya mapenzi ili uzae (kupata watoto)
3. Kufanya mapenzi ili kutimiza wajibu
4. Kufanya mapenzi ili kutimiza matamanio ya kimwili
5. Kufanya mapenzi ili kumlinda mpendwa wako
6. Kufanya mapenzi ili kujipatia kipato
7. Kufanya mapenzi kwa starehe tu
8. Kufanya mapenzi ili kutimiza matakwa ya mpendwa wako
9. Kufanya mapenzi kama zawadi kwa umpendae
10. Kufanya mapenzi kwa sababu za kiafya
Je, wewe uko wapi?
Heshima kwenu

Uliza hivi: Ipi ni sababu ya kula chakula? nadhani utapata majibu
 
Ipi ni sababu sahihi ya kufanya mapenzi (tendo la ndoa)?
1. Kufanya mapenzi ili kuonyesha upendo kwa mpendwa wako
2. Kufanya mapenzi ili uzae (kupata watoto)
3. Kufanya mapenzi ili kutimiza wajibu
4. Kufanya mapenzi ili kutimiza matamanio ya kimwili
5. Kufanya mapenzi ili kumlinda mpendwa wako
6. Kufanya mapenzi ili kujipatia kipato
7. Kufanya mapenzi kwa starehe tu
8. Kufanya mapenzi ili kutimiza matakwa ya mpendwa wako
9. Kufanya mapenzi kama zawadi kwa umpendae
10. Kufanya mapenzi kwa sababu za kiafya
Je, wewe uko wapi?
Heshima kwenu
Hizo zote zenye RED zinalenga pahala pamoja tu...UPENDO NDANI YA NDOA!...Na ndiyo shabaha kuu!(Na hii inaapply only and only if tunaongelea NDOA!)
 
Ili nipate watoto na kutimiza matamanio ya kimwili nyingine ni maelezo tu!!!
 
Ipi ni sababu sahihi ya kufanya mapenzi (tendo la ndoa)?
1. Kufanya mapenzi ili kuonyesha upendo kwa mpendwa wako
2. Kufanya mapenzi ili uzae (kupata watoto)
3. Kufanya mapenzi ili kutimiza wajibu
4. Kufanya mapenzi ili kutimiza matamanio ya kimwili
5. Kufanya mapenzi ili kumlinda mpendwa wako
6. Kufanya mapenzi ili kujipatia kipato
7. Kufanya mapenzi kwa starehe tu
8. Kufanya mapenzi ili kutimiza matakwa ya mpendwa wako
9. Kufanya mapenzi kama zawadi kwa umpendae
10. Kufanya mapenzi kwa sababu za kiafya
Je, wewe uko wapi?
Heshima kwenu

None of the above!!!
 
Hizo zote zenye RED zinalenga pahala pamoja tu...UPENDO NDANI YA NDOA!...Na ndiyo shabaha kuu!(Na hii inaapply only and only if tunaongelea NDOA!)

PJ;

Noted with thanks ....

na niogezeee tu!!

Mungu anaweza kuelezwa kama mjumuisho wa unit MBILI; Uumbaji(creator) na Vyote vilivyoumbwa(creation).. strictly TWO UNITS UNITING TO FORM ONE! = LOVE

Mchezo wa ndoa kamili uko hivi:

Mme acheze nafasi Uumbaji (creator) na Mke acheze nafasi ya Vilivyoumbwa (Uumbwaji-creation)... that makes two uniting to form one unit ... Love = GOD EXPRESSION!!

Strictly for God expression... and remeber it is (mke one unit) mme (one unity) ...milele!! One unity means mme na mmke mmoja doing the act ... milele..hakuna nje ya hapo...! Beacause things doest work that way!! The truth is s we have only one Creator and only one creation!!!!

If you choose to do it outside marriage that is not the purspose of the ACT!!
 
Ipi ni sababu sahihi ya kufanya mapenzi (tendo la ndoa)?
1. Kufanya mapenzi ili kuonyesha upendo kwa mpendwa wako
2. Kufanya mapenzi ili uzae (kupata watoto)
3. Kufanya mapenzi ili kutimiza wajibu
4. Kufanya mapenzi ili kutimiza matamanio ya kimwili
5. Kufanya mapenzi ili kumlinda mpendwa wako
6. Kufanya mapenzi ili kujipatia kipato
7. Kufanya mapenzi kwa starehe tu
8. Kufanya mapenzi ili kutimiza matakwa ya mpendwa wako
9. Kufanya mapenzi kama zawadi kwa umpendae
10. Kufanya mapenzi kwa sababu za kiafya
Je, wewe uko wapi?
Heshima kwenu

Namba 2 na 7
 
mabel wewe ni umri gani mana under 18 hawatakiwi humu, hivyo tusije shtakiwa na jf..
ila kam wewe ni above basi comments za PJ na Azimio Jipya .. zinajitosheleza
 
Ipi ni sababu sahihi ya kufanya mapenzi (tendo la ndoa)?
1. Kufanya mapenzi ili kuonyesha upendo kwa mpendwa wako
2. Kufanya mapenzi ili uzae (kupata watoto)
3. Kufanya mapenzi ili kutimiza wajibu
4. Kufanya mapenzi ili kutimiza matamanio ya kimwili
5. Kufanya mapenzi ili kumlinda mpendwa wako
6. Kufanya mapenzi ili kujipatia kipato
7. Kufanya mapenzi kwa starehe tu
8. Kufanya mapenzi ili kutimiza matakwa ya mpendwa wako
9. Kufanya mapenzi kama zawadi kwa umpendae
10. Kufanya mapenzi kwa sababu za kiafya
Je, wewe uko wapi?
Heshima kwenu

11. kufanya mapenzi kama sehemu ya maisha yako baada ya kufikia puberty (kubalee)
viungo vya mwili vinakazi tofautifofauti, zote ni muhimu, hatujiulizi wakati wa kutumia viungo vya mwili, it is natural
 
Hizo zote zina apply kama precondition moja is true ( uwe kwenye ndoa).
Logically. If upo kwenye ndoa then mapenzi ni yako na unaweza ukafanya kwa lengo lolote utakalo na huyo mkeo au mumeo.
other wise: yaliyo tajwa hapo juu hayakuhusu.:doh:
 
Back
Top Bottom