Kiuhalisia kumpenda mtu kiukweli ni kumpenda bila masharti,hii maana yake ni kwamba umkubali kama alivyo,cha msingi ni kuangalia zile tabia ambazo haziwezi kuhatarisha maisha yako kama vile umalaya,kama hakuwa na tabia hiyo akaja kuwa nayo wakati tayari mko pamoja usimwache haraka,mwoneshe kumjali nae atabadilika.