Hivi ukiwa na mpenzi wako mpokwenye vituz lakini ukastukia anajifanya anakosea njia utamfanya nini??na ukamwuliza akakueleza plse kiduchu!utamfanyeje?Nando unampenda!!
mi mwanamume, nina wivu ile mbaya kwa mpenzi wangu ,kibaya zaidi yuko mwanza mi niko bukoba kikazi nifanyeje?hii wivu itaniua jamani kwani muda mwingi namuwaza yeye
Ni rafiki yangu kipenzi sana, alikuwa na matatizo ya kumtosha na mume wake, mume alipata hawara akamfanya kama mke wa pili, kamjengea, kamfungulia biashara nzuri, yaani ni kama mke mdogo, wamezaa...
Viruka njia husemwa sana,
Lakini hao hao viruka njia hufuatwa na wanaume wengi na hawakosi wanaume kabisa,
Leo huyu, kesho yule.......
Hivi wanamvuto sana au ni uchawi wanatumia kuwanasa hawa...
Mimi ni mdada wa miaka 26 nakaa USA, nimekuwa sina bahati kabisa kupata kaka wa kitanzania huku USA ambae naweza kuna kwenye relationship naye zaidi hata ya miezi sita. Yaani huwa baada hata ya...
Katika siku za karibuni tulikuwa ktka maongezi vijana wenzangu kadhaa me na ke mchanganyiko. Katika kuchangia mojawapo ya hoja nikasema "Siwezi kuwa na nyumba ndogo wakati mke wangu nampenda na...
Moja ya makosa wapendanao hulifanya ni kutaka kumbadilisha mwenzi wako kutoka tabia aliyonayo awe kama vakavyo,for your imformation hakuna binadamu mwenye uwezo wa kumbadilisha binadamu...
Ipi ni sababu sahihi ya kufanya mapenzi (tendo la ndoa)?
1. Kufanya mapenzi ili kuonyesha upendo kwa mpendwa wako
2. Kufanya mapenzi ili uzae (kupata watoto)
3. Kufanya mapenzi ili...
Jamani naona wanawake wengi wanalalamika kuwa njia zao za uzazi sometimes ni ndogo, eti wafanye mazoezi, eti kwsbb ni mtoto wa kwanza, nk hivi vina ukweli kwa almost 20%, ila ukitaka upata mtoto...
Baadhi ya warembo wa bongo huamua kuachana na wapenzi wao mara tu wanapopata umaarufu. Baada ya hapo huanza kujilengesha kwa watu maarufu na wazungu ambao nao wana mademu lukuki. Ndio maana kila...
Fikiri kwamba wewe ni dada mkali unalipa mbaya,umeolewa na kijana handsome ana mihela ya kufa mtu,siku moja unatoka kwenye mizunguko yako town,unapaki gari unamkuta mumeo anamegwa tigo tena na...
huwezi amini, si natunga, ni kweli, mm nafanya kazi nzuri ya Uhasibu hapa Dar, nimemaliza Chuo, nina GF, na huyu mama alikuwa na mumewe alipata ajali Sept. 2008 so she is single now, na anamaisha...
Nikawaida ya mwanadamu kuona kile anachokiamini je niwangapi wanatamani wangekutana live na hawa wenye user's name hizi??Nyamayao,Firslady1,Preta,Rose1980,Mwanajamii...
JAMANI, hivi huyu mdada anayeitwa jina hilo hapo ni nani?
Kwa wale wanaomfahamu, anayo blog yake fulani hivi, na anavyoandika, nimeshindwa kumpima ni mwanamke wa kisasa kiasi gani, ana pepo la...
Habari za asubuhi wapendwa....
Nilipoamka leo asubuhi, niliamka na hii kumbukumbu kichwani - kitu kilichotokea several years ago...it was funny somehow but quite embarrasing!!
Nilikuwa chuo na...