Jamani nimekwama


Kijamani

Senior Member
Joined
Nov 10, 2009
Messages
160
Likes
0
Points
33

Kijamani

Senior Member
Joined Nov 10, 2009
160 0 33
Wana JF nimekwama naomba wale wenye vigezo wanifumbulie.
Ninahitaji mchumba wa kuoa lakini bado sijafanikiwa huko mitaani kukumbana na chaguo halisi.
Sifa;
1.Awe mweupe
2.Umri 18 hadi 25
3.Hajawahi kuolewa
4.Elimu kuanzia sekondari(kidato cha nne na kuendelea)
5.HIV negative
Wenye sifa tafadhali tuwaisliane kupitia kijamani@hotmail.com.
Niko siriasi na ndio maana nimeingia jamvini kuulizia wadau kwani watu wanatoka kupitia hapa pia.
 

Forum statistics

Threads 1,204,571
Members 457,385
Posts 28,163,196