Je Wewe Mwanamke Usamehewe mara ngapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Wewe Mwanamke Usamehewe mara ngapi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Magulumangu, Dec 9, 2010.

 1. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ewe mwananmke, umekutwa na mwanaume mwingine ndani ya kitanda cha mumewe, ukasamehewa, umekutwa ukifua nguo za ndani za mwanaume mwingine ilihali umeolewa, ukasamehewa, umekuwa ukilala siku kadhaa nje ingawa una ndoa yako, ukasamehewa, umekamatwa na maujumbe ya mapenzi toka kwa bwana mwingine, ukasamehewa, umetubu ulikuwa unajiuza kabla ya kuolewa hivyo wakati mwingine huwa unajikumbushia maana ulifanya hivyo kwa minajili yako sio kwa ajili ya hela, ukasamehewa maana umethibitisha kuacha, umedanganya umeacha kujiuza hivyo umepata kazi nyingine mchana kumbe ni shifti ya mchana kazi ile ile ya kujiuza, JE SWALI ni kama mia mara saba ukisamehe na bado huyu mwanamke anaendelea tu kugawa zaidi ya PIPI na kuja kulia na kuomba msamaha kila siku na kusamehewa, je HUYU ni shetani alievaa NGOZI ya MALAIKA lakini ndani ni SHETANI asiefaa?, Je kweli kama sala za mmewe aombae kila mara ili hili pepo limwonde litaondoka? Jamani ni KILIO CHA RAFIKI YANGU, yaweza onekana ni NI HADITHI LAKINI NI UKWELI na mimi nimeushudia...Je mshikaji asaidiweje jamani?
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  huyo mume naye ***** mtozeni kama amesamehe hayo yote aendelee kusamehe tu...
   
 3. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Je kuna kikomo cha kusamehe au mpaka ufe ndo utakuwa umeshasamehe za kutoshosha? maana hii too much, jana tu kamkuta akiliwa pilau na two mens ndani ya kitanda chake mmewe....
   
 4. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #4
  Dec 9, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  asamehe tu mpaka kifo!!!
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Dec 9, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Duuhhhh kuna hatari.....
  kosa ukifanya mara yakwanza ni sawa kusamehe ...
  lakini kama mtu anafanya kosa na anajua ni kosa (anafanya makusudu)..
  Kweli siono haja ya kusamehe tena.....
  nampa pole sana huyo kaka mwambie akimbia sasa kabla hajakimbia na magonjwa....
   
 6. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #6
  Dec 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  dada afrodensi we acha tu, kupenda kazi dada yangu, kapenda pia na anaomba na kuamini ipo siku ataacha tu, tumejaribu kumshauri lkn siku ya pili wanarudiana sasa sisi tunaonekana MASNITCHERS na wavuruga ndoa za watu, tumejaribu hata kufumania na yeye mwanaume akakuta kabisa ngoma inachakachuliwa live lkn wapi, JE labda kalogwa au unaonaje?ila mie siamini uchawi sasa....
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Dec 9, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmmmmhhhh kwa kweli...
  unajua nyie mtamsaidia kwa kiasi mnachoweza.....
  lakini decision ya mwisho inatakiwa ije kutoka rohoni mwaka kwasababu yeye ndio anayeishi na huyo dada
  kwa kweli hata mie mambo ya uchawi siyaamini kabisaaaa...
  kwa mi navyoona huyo dada ni mgonjwa (sex addict)
  cha muhimu nikumtoa nje ya nchi na kumtafutia Rehabilitation center za sex addict.....
  nimesema nje ya nchi kwa sababu sithani kama hapo TZ ipo....
   
 8. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #8
  Dec 9, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Afrodenzi huwezi jua labda huyo jamaa hatoi dozi za uhakika kwa mwanamke kumleta mwanaume ndani uswahilini wanasema hawezi kazi, ingekuwa gesti sawa.
   
 9. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #9
  Dec 9, 2010
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kama ni kweli, which I highly doubt, then naomba
  Huyo rafiki yako amtafutie kazi ya kufanya including involving her full time with kids
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Dec 9, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Hadithi za siku ya uhuru hizi. Mwanaume gani anaweza kuyafanya hayo yote wewe wewe labda bushoke huyo huyo au kalishwa limbwata
   
 11. M

  MUSINGA JF-Expert Member

  #11
  Dec 9, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  sio bure huyo mwanaume,labda yeye anajua kwa nini mkewe anafanya hivyo loo!unawezaje kumuita mmke wa hivyo mkeo
   
 12. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #12
  Dec 9, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,712
  Likes Received: 8,264
  Trophy Points: 280
  Kusamehe kunahitaji roho wa Mungu...
  Halafu Biblia pia inasema, the only thing that can lead to divorce ni an unfaithful partner! So huyo Bwana, kwa ajili ya nafsi yake na afya yake, ni afadhali ajitenge na mkewe!
  Siku hizi kuna magonjwa na vitu kama hivyo..so, hata kama anampenda aje, ni afadhali kukaa mbali kiasi..akibadilika, na bwana akaridhia kweli mkewe amejirudi, basi anayo haki kumrudia. La sivyo, anayo haki ya kutafuta mwenza mwingine au akae hivyo na Neno wala sheria havitamhukumu!
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Dec 9, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmmhhh Uporoto acha kunichakachua basi ndugu yangu.......
  kama ni hivyo kwa nini alikubali kuolewa naye mara ya kwanza???
   
 14. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #14
  Dec 9, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  :embarrassed::eek:
   
 15. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #15
  Dec 9, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wajameni afrodenzi nimekuchakachua lini ? kauli kama hizi zinampandisha presha cheusi wangu lol! hii stori hujaisoma vizuri huyu bibie alikuwa taxi bubu na jamaa alijua hivo na kuridhika kumuoa sasa sijui analalamika nini si anakumbushia enzi zake ?
   
 16. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #16
  Dec 9, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Watu kama hao hawapo kwa jinsi nilivyosoma, yaani mtu umkute analiwa pilau tena na men mbili halafu usamehe!!!!!!!
   
 17. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #17
  Dec 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Dada asante kwa ushauri mie naposema hapa sio TZ ndugu yangu ni out of TZ...leo basi mwenyewe nimeenda kwao ila jamaa yangu hakuwepo lkn makubwa huyu dada ananikenulia meno utadhani SIMBA kaona swala, sijui alitaka na mimi kunichakachua? Ikabidi nitoke kabla ya muda na unajua tena baridi kwa sasa nikaacha CHAI yangu kisingizio rafiki yangu ananiita.......mi naona ana pepo la ngono au hapati dozi stahimili...
   
 18. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #18
  Dec 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Nyie ndo mnaokufa kwa MIOTO kwa kuuliwa na ma VIBWETERE...kama ni hadithi prove basi sio kuropoka tu...make u think b4 reply men kama huna cha kushauri usitake kuchakachua habari hapa...
   
 19. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #19
  Dec 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  We uko Dunia ya ngapi ndugu yangu au unasomaga vitabu gani hivyo? I assure you ndo ukweli ulivyokuwa na utakuwa vile vile kama unataka prove ok njoo napoishi nikakuonyeshe uone mwenyewe na jamaa watu majirani zake watakwambia...sio LIMBWATA maana is not BONGO...
   
 20. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #20
  Dec 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  U gat it mkuu...eti anajikumbushia...
   
Loading...