natafuta mrembo wa kunisaidia kugawa zawadi za xmas | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta mrembo wa kunisaidia kugawa zawadi za xmas

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by father-xmas, Nov 22, 2010.

 1. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  xmas inakaribia...!
  nahitaji mrembo awe maza-xmas wangu.....!anisaidie kugawa zawadi siku ile ya Noel...!then tukishamaliza kugawa zawadi tunarudi home nampa na yeye ZAWADI yake SPECIAL.....!,kumbuka father-xmas sitaki kula hii sikukuu kiupweke.....!,nahitaji maza-xmas....!
  sifa za maza-xmas ni awe na mchanganyiko wa tabia za FIRSTLADY1 ,WOS na za QUEENKAMI....!
  umri its not a big deal mradi tu ni dada single.....!awe msafi na anayevutia kimwili,kimoyo na ubongo.......!
  asiwe muongeaji kama cherehani as father-xmas ni mtu mpole asiye na maneno mengi...!
  kwa mrembo yeyote atakayekua intrested naomba aniandikie pm kwa maelezo zaidi....!
  father-xmas ni mtu mzima mwenye kujiheshimu,mstaarabu na asiye na makuu.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Nov 22, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  kibonde.jpg
  Vipi huyu anakufaa?
   
 3. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mabachelor wa jf bwana mnaniachaga hoi.hivi kwani ukiandika tu jamani eeh natafuta mwenza niko single kitaharibika nini.
  haya father check inbox yako labda naweza kusaidia kugawa hizo zawadi.
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mhhh muheshimiwa unamasharti mingi sana .............
  je hii ni kazi ya kujitolea au tunalipwa????
  kwanini lazima awe single???
  mi nilidhani kama unaenda kugawa zawadi kwa watoto umtafute mama mwenye mtoto/watoto ndo wanaelewa vizuri hiyo duty....
  au unatafuta mtu ambae atakuwa zaidi ya mother x-mass???
  samahani kwa maswali mengi.......
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  father -Xmas naona kama unatafuta mke hizo sifa sio za mgawa zawadi:A S 109:
   
 6. F

  Ferds JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  kwa gia hii gari yako haitopanda mlima, badili haraka sana mkulu
   
 7. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #7
  Nov 23, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Father Christmas. Hii haijakaa kugawa zawadi bwana sifa zote hizi mmmhhh we sema unataka mke bwana usitupinge changa la macho. ni PM mie niko tayari
   
 8. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kazi ipo haya mnatafutwa jamani,msije mkawa nyie ndo zawadi yenyewe kwa faza xmas
   
 9. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  cheusi acha utundu...........!
   
 10. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kama ni dada na yuko single poa ila mvuto wake itabidi niutafakari vizuri...........!
  huyo ni wewe nini..................!
   
 11. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Wewe mzushi sana jana nimesubiri PM hola anakuzuga mwaego
   
 12. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  firstlady ndo maana nakupenda tatizo umeolewa..............!
  ila fl1 kwani kuna shida nikitafuta mke..........!?
   
 13. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Chagua kati ya hawa wanao sijui cheza au sutana?

  [​IMG]
   
 14. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  nipe mfano kama hutajali............!
   
 15. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  nawasiliana nawe as soon as i can..................!
   
 16. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  pearl acha hizo...........!
  kwani kuna ubaya gani nikijipatia mrembo mwema kama zawadi kwangu.........!
  hata wewe si ni zawadi kwa mzee au sio.................?!
   
 17. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #17
  Nov 23, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  bahati mbaya hawa sio type ya father-xmas............!
   
 18. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #18
  Nov 23, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kumbe kunainterview mbona hujasema wanaojitosa wajue hilo mkuu!
   
 19. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #19
  Nov 23, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  hiyo issue ya interview umeitolea wapi mkuu............!
   
 20. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #20
  Nov 23, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
Loading...