Nisaidieni kuhusu imani yangu..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni kuhusu imani yangu.....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Konakali, Dec 6, 2010.

 1. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Wana JF habarini za week-end? Bila shaka imeenda salama kabisa na kila mmoja ameweza kurejea kwa mkoloni wake kwa utumishi wake... Leo napasua ukweli wa moyo wangu juu ya imani hasa kwenye uwanja wa mapenzi; Hivyo, naombeni mahubiri kwa ajili ya kupata imani sawia..

  Kuwa kutokana na ninayoyashudia hapa duniani nashindwa kuamini kama kuna uaminifu katika mapenzi.... Je, Am I right or wrong anyway? This made me not even trust my sister against my brother.... my dad against my mother in law.... my GF against my brother.... my co-worker against our boss..... my classmate against our teacher..... etc.
   
 2. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Uko kweli mia kwa mia.... Siku hz hakuna kitu inaitwa UAMINIFU katika mapenzi... Hiyo kitu ilikuwa zamani kwa mababu na mabibi!
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Dec 6, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mapenzi ya kweli yapo, uaminifu upo, kuheshimiana kupo...! Haya yote yanategemea malezi na mkuzi ya muhusika.
   
 4. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo swala la kumwamini mwenzio kwenye mapenzi limeshakuwa ndoto.... Thanks for your openness.... Kwa sababu baadhi ya watu wamekuwa wakija juu wanisikiapo nikisema "I never trust a human being....... but I can have hope instead...."
   
 5. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  uaminifu kweli upo paster lakini utamuamini mtu lakini hakuamini au atakusaliti because u trust and love him!!!love,,???omg sijui ni kitu gani wallah!!!
   
 6. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #6
  Dec 6, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Hakuna uaminifu kabisa siku hizi bwana tusidanganyane hapa
   
 7. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Nafurahi kukuona tena baada ya kuniacha njia panda hadi leo..... Nami nimebaki kuamini kuwa uaminifu umetoweka kabisa.... na njia pekee ni kuwa mwaminifu kivyako, japo si kumwamini mtu wala kumfanya akuamini.....
   
 8. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  u said u cant trust human being,,,,thats cant be the solution bcause wengine wanastahili ku b srusted with others why not my dear????but kivyengine its true kwa sababu mke na mume hawamiani ije kuwa bf na gf???oooh i do know what's happen in this world every thing changes now days,,,,
   
 9. N

  Nightangale JF-Expert Member

  #9
  Dec 6, 2010
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani tusitishane kihivo! Mbona mimi bado naamini katika uaminifu wa mapenzi japo nakubali wengi wetu si waaminifu lakini wapo wake na waume ambao ni waaminifu
   
 10. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #10
  Dec 6, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Nakukubali Dena..... Watoto wenyewe wanasema hawadanganyiki.... why us adults? For sure there is no longer trust.... But, I am asking myself on what to do then?
   
 11. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #11
  Dec 6, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  noo not like dat si nimesema nilikuwa taaban mwenzio wallah nikumshukuru allah tu kwa rehma zake leo tumekutana binaadam hujafa hujaumbika my dear sikutegemea mi kupona na kuwa hapa nilipo wakati huu la!!! il llahh!!!
   
 12. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #12
  Dec 6, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hakuna UAMINIFU Konakali... Ukimpa kisogo wakwako... Tayari yuko na mwingine!!!! Na ukirudi unapendwa kama hakuna kilichotokea
   
 13. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #13
  Dec 6, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yah that true waaminifu wapo bado nakuung mkono!!!!
   
 14. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #14
  Dec 6, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Huyu naona hana mke/mume. Uaminifu ziro siku hizi
   
 15. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #15
  Dec 6, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  How many relationships do you had till today? Did you being perfect as you know yourself? Have you being moving out of your residential place? How frequent, and what did you observed on your trips? Then you say you can trust a human being.....!!!!! How many case we normally here through forums like JF, friends, media, etc. about mzee kutembea na mwanae wa damu, mtu na mdogo wake, mtu na shemejie... Hatukutishi mkuu, bali haina maana kukudanganya.....
   
 16. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #16
  Dec 6, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Uktih Niliham, Mambo ya mapenzi ni uwanda mpana sana na kuna mambo mengi yenye kusababisha kupungua kwa mapenzi na kuto kuaminiana...! Sababu kubwa ya wanandoa kuchokana, kunasababishwa na wana ndoa wenyewe, pale ambapo mtashindwa kutumia nafasi yanu na vipawa malivyopewa kuleta utulivu katika ndoa yenu...! Hii yote ni kutokuwa na akhlaaq nzuri. Mambo mengine usababishwa na Kutokuwa na Imani na Taqwa inayohitajika, Watu kuingia katika ndoa bila ya kujua haki na majukumu yake, Ukabila na utaifa na mambo ya kadha wa kadha...!

  Kuna msemo mmoja wa kiswahili unasema hivi "Mapenzi ni shamba lenye kuitaji mbolea na kupaliliwa"
   
 17. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #17
  Dec 6, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Duh.... Pole nimpendaye..... nini kimekutokea? Aidha, tumshukuru Allah.....!
   
 18. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #18
  Dec 6, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Kweli kabisa hawa wanajifariji tu. UAMINIFU ZIROOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
   
 19. N

  Nightangale JF-Expert Member

  #19
  Dec 6, 2010
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh. Nisome kwa nukta kwenye mchango wangu. Nimeweka bayana kabisa juu ya suala zima la watu kutokuwa waaminifu lakini hiyo haifanyi jamii nzima kuwa na tatizo hilo.
  Kutendwa/kutenda kwenye mahusiano yangu si kipimo pekee kitakachonifanya niseme hakuna waaminifu.
   
 20. chiko

  chiko JF-Expert Member

  #20
  Dec 6, 2010
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hapo Shabash!!!!!!, Umesema Ukweli, Uaminifu Upo tena kwa sana!!, huwezi kuuona kwa macho!!, Uki- jiamini wewe mwenyewe, mungu atakudhihirishia wazi peupe ukitendewa. Majaribio mengi, upitapo uuwazi mwingi sana( Soko Huria). Jambo ni kuamini Mwenyezi mweza wa yote!!!!
   
Loading...