Marafiki

Apolinary

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
4,438
Points
1,250

Apolinary

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
4,438 1,250
<b>yaani uchukue mawazo yangu na mimi ya kwako basi? Mawazo yako yakoje ili nione kama nitapenda kukubadilishia uchukue ya kwangu
Changamoto zinazowakabili hasa vijana na jinsi ya kuzitatua hali kadhalika future plan hayo ni kwa ufupi tu bebi
 
Kbd

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2009
Messages
1,263
Points
1,170

Kbd

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2009
1,263 1,170
Mi napenda pia kusikia mawazo ya watu wengine ila ilo sharti la mpaka sms ndio limenishinda. Hakuna njia nyingine zaidi ya hiyo?
 
Apolinary

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
4,438
Points
1,250

Apolinary

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
4,438 1,250
Mi napenda pia kusikia mawazo ya watu wengine ila ilo sharti la mpaka sms ndio limenishinda. Hakuna njia nyingine zaidi ya hiyo?
Kama unajua njia nyingine unaweza uka2ambia coz hapa inahitaji m2 atumie mda mwingi kwenye internet.
 
NYENJENKURU

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
1,014
Points
1,195

NYENJENKURU

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
1,014 1,195
Karibu sana utawapata...Bebii ameisha kubali au haukumuelewa aliposema
yaani uchukue mawazo yangu na mimi ya kwako basi? mawazo yako yakoje ili nione kama nitapenda kukubadilishia uchukue ya kwangu
Kwenye red kwa maana kwamba unachotafuta na yeye ndo hicho hicho so ameshakupa green light..eeeh mMP tu.
 
King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,705
Points
2,000

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,705 2,000
sasa si tungebadilishiana humu woote labda utapata wazo thabiti la kujikwamua na hizo ngangamoto? mbona mnatubagua,ama nyie changamoto zenu tafauti na zetu?
Changamoto zinazowakabili hasa vijana na jinsi ya kuzitatua hali kadhalika future plan hayo ni kwa ufupi tu bebi
 
Husninyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
23,797
Points
2,000

Husninyo

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
23,797 2,000
sasa si tungebadilishiana humu woote labda utapata wazo thabiti la kujikwamua na hizo ngangamoto? mbona mnatubagua,ama nyie changamoto zenu tafauti na zetu?
<br />
<br />
mamkwe hebu tupia namba yako hapa tubadilishane mawazo. Mawazo yangu yameeksipaya.
 
Forum statistics

Threads 1,379,193
Members 525,346
Posts 33,737,466
Top