"Msukule" wa Mapenzi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Msukule" wa Mapenzi...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mbu, Jul 27, 2011.

 1. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  [​IMG]...Emotional Roller Coaster,...are you enjoying the ride or suffering?

  [TABLE]
  [TR]
  [TD="class: word"]emotional rollercoaster
  [/TD]
  [TD="class: tools"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [TD="class: text, colspan: 2"]Term first used by R&B singer Vivian Green in her 2002 single "Emotional Rollercoaster" from the album "A Love Story". It is used to describe the varied emotions that a person (usually someone you're in a relationship with) has you feeling for them. For example, your girlfriend cheats on you with your best friend. As much as you hate her for cheating, you can't help but keep loving her because she has you so sprung.

  2.) When your emotions go up and down like a rollercoaster. For example, you keep slipping in between happiness and sadness.

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  ...leo tujadiliane hii kitu emotional rollercoaster. Pale mwenza wako (Psychological Abuser) anavyoutumia udhaifu wako. "Sleeping with the Enemy" ni sinema mojawapo inayotoa mfano mzuri wa hili.

  Ex-wako ana ku distract maishani mwako kwa simu, sms, email, unwelcomed visits, unexpected appearances, etc almuradi kila wakati ujiskie umo maishani mwake. Usimtoe mawazoni mwako.

  Ex-wako ana ku distract na midnite calls akilia, au kalazwa, kapata ajali, kaingiliwa na majambazi, kasimamishwa kazi, almuradi he/she wants to keep you on your toes!...kwa wale wazazi, utasikia 'haraka njoo, mtoto anaumwa!'...ukifika unakuta mtoto anacheza...

  Tujadiliane Ex- wife/husband/partner anapoendesha hisia zako atakavyo; -Swahili Slang- 'kuwekwa kidoleni,' 'kushikwa pembe,' 'kuwekwa mkononi,' etc na athari zake, kwa muda mfupi na muda mrefu.

  ....lets share the experiences za "Msukule wa Mapenzi"
   
 2. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ..............Inauma sana!.................umewaza nini leo?
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  duh...
  naweza kuwa nimeshakuwa msukule?
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kama ni kweli anashida na unaweza kumpa msaada anytime unamsaidia huo ndio ubinadamu...

  Kama ni muongo anasingizia jambo ambalo halijatokea siku akipiga simu usipopokea au akikuita usipoenda (asije kulaumu) Kumbuka hadithi ya the Boy who cried Wolf.... Inshort nitatoa msaada wangu kwa EX within reasons na with limit...

  Na kama EX hana busara basi asitegemee nitamtreat kwa busara..
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  Chauro pole,...au tupeane pole?
  Acha tu.

  Kutekwa mawazo pia hakutoshi ku define haya matukio,
  maana mtu ana kukeep busy siku nzima, kama mwalimu
  vile anavyomwachia mtoto Homework.

  Simu za, "Nataka kuongea na wewe, nitakupigia!"...halafu jiii...
  siku nyingine unapata sms, "Nipo Hospitali,...nimewekewa dripu!"
  Unajitahidi kuuchuna, siku inapita...wiki haijesha unakurupushwa tena
  saba za usiku, ...eti "kama una nafasi kesho nije tuongee!" Arrrghhhhhh!!!

   
 6. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  nimetoka kupokea call yake sasa hivi, mama yake mgonjwa sana, leo ndio nimeweza japo kuongea nae na dk kadhaa otherwise namchukia kwa usumbufu wake.
   
 7. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Yeah wengi wako hivyo yaani kuraise attention ambayo haipo na wakati huo anajua kabisa kuwa u have a family inayokuheshimu.
  Just deal with it lakini kwa busara na mwambie wazi kuwa u have your own life na hizo lia zake au calls au attention anazozitaka ipo siku hazitatokea maana kuna kuchoka na wewe. Maana unapoitiwa mtoto anaumwa na then ukaenda ukakuta mtoto anacheza au anakuambia kuwa ameona majambazi yanazunguka nje dirishani wakati hakuna kitu aliona kivuli cha mgomba, siku ikitokea kweli hatakuwa na msaada.
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Inashangaza sana mtu mliachana tena maybe yeye ndo alikuacha anaanza kukwambia mtoke aunt ooh mama mgonjwa so what over is over usidanganyike ndugu
   
 9. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Ya kutoka out hiyo ni issue nyingine lakini ya mama mgonjwa sioni tatizo hivi kuachana ni kujenga uadui..., na kama ulimjua mama yake, je kuachana na mwanae ndio kukosana na mama yake?
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Sorry i can never seem to narrow things down.... hasa kama imenigusa/inanihusu.... thus the long post....

  Mbu Mapenzi kitu cha ajabu saana na kweli kabisa hayana adabu…. For ukiwa in love, yenyewe pamoja na huyo abuser (who in most cases anakua hana mapenzi ya kweli) ndio yanakuendesha… Kwa kuzingatia hio term ya Emotional Rollercoaster … Ubaya ni kwamba kama mhusika bado una feelings za Ex wako… hata apewe ushauri gani atakubali NDIO but yet still itapofika Yule ex akajitokeza na kumsumbua ana rudi hali ile ile ya unyonge na kubulutwaa… hio tokana na ukweli kwamba hawezi control hizo feelings…. Uzuri tu ni kwamba hata abuluzwe namna gani iko siku yeye mwenyewe mhusika atatia akili (time hu vary…) kua sasa basin a hatavumilia upuuzi wowote toka kwa huyo ex.

  From experience… Kwa wanao nifahamu kwa ukaribu… hapo nyuma I was a Great example wa "Msukule wa Mapenzi"…. Usiombe… Nilikua naambiwa but yakawa yanaingilia sikio moja na kutokea linguine… But nilikuja vumbua mwenyewe!!! Huyo ex nimezaa nae but imepita hata three years toka tuliwasiliana/onana mpaka tu juzi kati kwenye matatizo ya misiba....
   
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  sasa utakuwa unaweka ukaribu ambao hautakiwi.kila mtu awe na maisha yake kwa amani mkutane kwa bahati mbaya sio kutafutana bila sababu huko ni kuumizana feelings
   
 12. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  VOR hapa hatuzungumzii kuhusu mama yake kuumwa ni ile issue kuwa your Ex anataka apate attention kubw akutoka kwako. Yaani hata kama issue ni ndogo anatakla uipe kipaumbele na kuijali. Maana kukupigia simu au kukuomba umpigie au kukupigia simu usiku just tuu asikie sauti yako wakati anajua kuwa mshaachana hiyo sio kabisa
   
 13. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  inategemea mliachanaje, wengine tuliachwa vibaya sana na kupitia maumivu makali kiac kwamba niliweka uadui but kwa hii call yake ya leo mama mgonjwa sana nimepata imani kidogo.....
   
 14. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mimi hata afe yeye siendi i hate him so very much
   
 15. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Jibu la mama lilikuwa ni jibu la post. Na. 9 Jibu la Post ya Mbu nimejibu Post Na. 4

  Kila scenario itakuwa na solution yake, mtu kama ni msumbufu basi nikiwa sipokei simu zake au kutokuitikia wito asinilaumu.., lakini kutokuwa lovers haimaanishi kwamba friendship au ubinadamu unakwisha.., nitaendelea kumtreat kama binadamu mwenzangu na rafiki..., haya mambo ya attention seeking ni tabia ya mtu..., mbona kuna marafiki tu wakawaida wanakuwa wasumbufu kwahiyo ni kumchukulia mtu kama alivyo na penye uwezo unatoa msaada pasipo uwezo basi atanisamehe.., na mambo ya simu usiku tamwambia unless its really necessary asipige sababu anaweza kuharibu relationship yangu au kupelekea wivu kwa mwenza wangu
   
 16. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Inategemea mmeachana vipi, Je kama wewe ndio ulimwacha kwa kutema Big G kwa karanga za kuonjeshwa je utamchukia?
   
 17. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  VOR kuna watu waelewa ambao wanaelewa unapowaambia mwisho wa kunipigia simu may be ni saa mbili za usiku na baada ya hapo sipokei tena calls au kutuma sms. Ila mkuu kuna watu hata uwashikie bastola kuwaelewasha hayo hawakuelewi. Especially mtu anapotaka kile anachotaka kitumizwe. Ikishakuw aamekujulisha kuwa atakupigia baadae na ukakubali kwake yeye haimaanishi lolote kuw ani usiku au ataharibu uhusiano wako au sio muda muafaka wa kupiga simu. Sio wote ni waelewa mkuu na sio wote wanakubaliana na kile wewe unachotaka. Mtu kama ni mtafuataji wa attention kutoka kwa mtu hatajali kama anakukasirisha au anaingilia hata privacy yako
   
 18. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  sikumtema mimi na kumrudia siwezi na urafiki sitaki wala mazoea kama ni simu itaita itakaTa sms sijibu namjengea tu chuki moyoni
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  VOR hapa ina maana tayari you are over her.... tatizo ni pale kua bado you are sprung....
   
 20. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,025
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Kusaidia katika shida siyo mbaya,ila kuwa mwangalifu hasa kama ana mahusiano mengine.
   
Loading...