BABA JUICE
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 426
- 52
Kuna posti nimesoma huku ndani na ikanifanya niandike hii mada...kwa kifupi jamaa alikutana na mwanamke kwa siku moja akamtongoza na mapenzi akapewa...basi amekuja huku ndani anasema huyo mwanamke ni kicheche...je yeye ni nani? Kwangu hilo si swali wala mada.
Kila mtu yupo bize na mambo yake na muda mwingi hasa madada zetu hawa wanatafuta pesa sio kama miaka ya nyuma..kwahiyo kama umemtongoza mwanamke akakukubalia usimuone malaya ni kwamba hana muda wa kukuzungusha au kuwa na mahusiano na wewe anachotaka ni kutimiza haja yake na kuondoka so wewe ukimona malaya ni juu yako hata wao wanahisia...
Kwa hiyo ukikutana na mwanamke akawa rahisi kwako usimuone malaya wewe mueshimu.....unajua ni taboo kwa waafrika kwa mwanamke kuwa na mwaume zaidi ya mmoja lakini wanaume wenyewe sisi hatushikiki so usimuhukumu mwanamke anaekukubalia haraka.....wewe mtazamo wako ni UPI