Mpaka rangi,
Mzaire wa saluni,
taxi driver,
muuza genge,
muuza chips,
mwalimu wa mazoezi
yaani hawa jamaa ni noma kidogo kidogo unaweza ukakuta anammega umpendaye. Hawa wana mivuto sana kwa...
khabari za sasa wana jamii wa jukwaa hili. Kuna swala nmelifkiria kwa muda sana inabidi niwashilikishe tu. Ilianze kipindi kile cha xtream ya tigo(unlimited msgs),ikifika tym ya kulala msg...
mimi ni mwanamke n
nilikutana na mkaka mmoja sijui alinipenda au alinitamani alivonitongoza kabla sijamjibu kuna siku akanipigia simu nasimu ya rafiki yake tumiit somewhere nilienda na akaja na...
Hebu chukulia kwamba, una mtoto ambaye umempeleka shule ya kulala au bweni. Huko anaishi hosteli na sio kwenye bweni. Halafu unashangaa kwamba, maendeleo ya mtoto kitaaluma hayako sawa na pia...
Ni kweli kwa wadada huwa wanawapenda sana wapenzi wao wale waliowakaribisha kwenye ulimwengu wa mahaba kiasi kwamba hata kama walikuwa wameachana mchizi akirudi lazima awin love? na ww uliyepo...
Ushauli kwa vijana ambao hamujaoa zingatia kuchagua wachumba, achana na wasichana wenye madigree wasumbufu kinoma kitabia(bad behaviours) , kama unaye pole na muombe mungu atakusaidia uishi nae...
Leo nimeumia mno na tukio moja la kusikitisha.... Roho imeniuma mno....
Kijana mmoja anaeishi na babake kafariki kwa mda wa sikut zaidi ya tisa ndani bila kutambulika... In brief huyo kijana...
Here are couple of questions ask yourself: 1.Do you workout at least 3times a week 2.Do you try to upgrade yourself constantly 3.Do you try to excell yourself in every area of yourlife...
Nimefikiria haya maisha nimeona ni mafupi sana kutokana na mambo yanayotokea katika nchi yetu na katika jamii kwa ujumla ajali/ufisadi na magonjwa na mambo mengi mengi!! nimetamani sana JFs wa...
Hebu tuchukulie kwamba, ukiwa umekaa nyumbani kwako, anafika mgeni. Huyu mgeni ni mtoto wa miaka 10 hivi. Mkeo anamkaribisha na anaingia sebuleni ulipo.
Anasalimia na baada ya salaam, mkeo...
Mpenz wangu,ambaye ndiye mtarajiwa wangu nampenda sana but problem ni kwamba kinywa chake huwa kinatoa harufu flan mbaya but huwa naogopa kumwambia! Ni kwamba me na yeye hatuish pamoja,but...
Kuna jamaa mmoja kanisimulia kitu ambacho kwangu mimi ni ajabu, ana wanawake kadhaa nje ya ndoa, mke wake amekuwa akifuatilia sana simu yake. Sasa jamaa kaamua kubuni mbinu kwa kuajili katibu...
Mkeo mahari umemlipia laki tatu, gari yako umenunua milioni 200.
Rafiki zako wakikuazima gari unawapa, vipi ikitokea mmoja akuazime mkeo kwa dakika moja tu?
Nimefikiria haya maisha nimeona ni mafupi sana kutokana na mambo yanayotokea katika nchi yetu na katika jamii kwa ujumla ajali/ufisadi na magonjwa na mambo mengi mengi!! nimetamani sana JFs...
Wapendwa marafiki salamu,
Jana nlimpigia simu rafiki yangu. Alipokea akiwa na simanzi kubwa. Kumbe ndio alikuwa kapokea habari ya msiba wa kaka yake. Alikuwa analia na kuongea kwa shida...