Darasa la kutongoza kwa wanaume

ma jery

Senior Member
Joined
Jun 15, 2011
Messages
171
Points
0

ma jery

Senior Member
Joined Jun 15, 2011
171 0
mimi ni mwanamke n
nilikutana na mkaka mmoja sijui alinipenda au alinitamani alivonitongoza kabla sijamjibu kuna siku akanipigia simu nasimu ya rafiki yake tumiit somewhere nilienda na akaja na huyo rafiki yake.tukaakaa wakaondoka.usiku yule rafiki akanipigia akaniambiadada mimi nimekupenda saana naomba tuwe pamoja huyu rafiki yangu ana mchumba tayari na keshamtambulisha kwao nikwamwambia sikutaki wewe wala huyo rafiki yako swali langu ni hv huyo mkaka alitegemea kwa kuniambia ivo ningemkubali?


2case
huyu mwingine kanitongoza nae usiku akanipigia helo helo eti dada umevaa underwear gani? kiukweli sikuwa na jibu na nikamdiscolify hapohapo naona kama hana adabu huyu3case huyu ni mkaka wa kijijini kwetu
nilikutata nae town niko na marafiki zangu akaniita bembeni akaniambia yaani nimekutamani sana nikamuuliza unamaanisha nini akasema yaani nakutamani toka huko mdogo kiukweli tulimtukana sana
swali.wanaume hawajui kutongoza au ni vp? kwanini mnashindwa kuweka heshima mbele?
ina maana wanaume hamjui kutongoza kwa heshima
 

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
15,198
Points
2,000

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
15,198 2,000
hakuna kanuni ya kutongoza wala shule
ila hao wote ni washamba na hawajui wananataka nini kwako
naona wote ni wachanga kwenye kutongoza
mtu unakutana nae siku ya kwanza au hata mara moja na ushaanza kumwaga sera zako
hapo wamechemsha mbaya
 

Konakali

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Messages
1,539
Points
1,225

Konakali

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2009
1,539 1,225
Hakuna fomula ya kutongoza, maana wapo wanawake wengine hawapatikani hadi wamerushiwa matusi ya aina fulani, wengine hawapendi tafsida, wengine hawataki busara, hekima, heshima, wengine wanataka pesa, wengine wanataka wakupe pesa wenyewe, wengine hawataki married men, wengine hawataki singles, wengine wanawapenda wapole, wengine wanawapenda wakorofi nk....!
Only four things to be considered by a man in succeeding a woman;
  1. Mwanamke hupenda kusifiwa, kufagiliwa; hata kama hana sifa hizo, huwa wanapenda kupewa tu....! Hapa ndio uongo mwingi hutumika, na hapa pia ndio mwanamke anaanza kukulist kwenye kichwa chake....! Na kwa kuwa wanawake wengi hupenda kumuona mwanaume amechanganyikiwa kwake, basi na mwanaume akiweza kupanga maneno vizuri, basi atapata nafasi nzuri ya kusonga mbele....!
  2. Kwa kuwa wanawake wengi hupenda kuahidiwa kuwa utakuwa naye daima, basi ni vema ukamuahidi hivyo; kuwa kamwe hutomwacha....! Waweza kumzuga kwa kumtambulisha kwa rafiki yako mmoja ili aamini hivyo....! Na hapo utakuwa umemfanya akufikirie zaidi....!
  3. Mpatie ahadi lukuki, hata bila kujali kama utaweza au lah...! Lakini huwa wanawake wengi hupenda kuhakikishiwa kuwa wataridhishwa katika haja zao....!
  4. Siri; hii pia ni jambo lililo muhimu sana kwa mwanamke....! Ukiweza kumwaminisha mwanamke kuwa mahusiano yenu yatakuwa ya siri daima, hasa kwa wale wenye mahusiano mengine au ndoa, utakuwa umejiwekea nafasi nzuri sana kumpata....!
Haya ni baadhi ya mambo tu, lakini huwa swala la kutongoza halina fomula kabisa....! Humu MMU kuna mmoja aliwahi kusema "napenda sana mwanaume wa kunibaka walau mara moja kwa mwezi" So, ukijaribu kuangalia utaona kwamba haya mambo hayana fomula kabisa....!
Ni mtazamo wangu tu....!
 

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Messages
28,266
Points
2,000

Eiyer

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2011
28,266 2,000
Japokuwa kumuaproach mwanamke hakuna fomula ila hiyo ya hao ni ya kijinga sana,kutongoza kunategemea na mwanamke mwenyewe utakavyomsoma,dada hao ni wajinga sana!
 

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
15,198
Points
2,000

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
15,198 2,000
Kwanza siku hizi kuna kutongoza tena kweli
maana nfikiri kutongoza kumebaki kwa hivi vitoto vya sekondary na msingi
mtu mzima najipinda kweli kutongoza na kutangaza sera zangu nyingi na ahadi nyingi za uongo
 

ma jery

Senior Member
Joined
Jun 15, 2011
Messages
171
Points
0

ma jery

Senior Member
Joined Jun 15, 2011
171 0
yaani nikikaa na wewe kwa siku mbili tatu kweney maeneo tulivu na vile nitakavyokupeleka maeneo yaliyotulia na muangalio wangu kwako na maneno ambayo nitakuwa nakupa wakati tukiwa wawili sina haja ya kukupa sera za kukudanganya wala nini
jinsi ya kumkonvice mtu mwende iyo sehemu tulivu suppose ni mgeni
 

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
16,391
Points
2,000

Rweye

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
16,391 2,000
Yawezekana umekaa wa kuchapa tu na kusepa kiasi kwamba kuzunguka sana kwao haikuwa ishu saana,ama tuseme unayo bahati mbaya sana kukutana na wanaume wenye upeo mdogo kimahaaba!
 

Forum statistics

Threads 1,353,352
Members 518,297
Posts 33,076,207
Top