Safari yangu Nyumbani hivi Karibuni

Hassan J. Mosoka

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
682
323
P1000564.JPG h
Ndugu zangu mwezi uliopita nilifika Nyumbani Tanzania na kwa Neema ya Mungu nikajipatia Mke mwema
 
Huyo ni wewe kweli au umenyakua tu picha ya wengine na kuitundika hapa? Na kama kweli ni wewe, je, umejiridhisha kabisa kuwa huyo ni "mke mwema"? Kama ndiyo basi hongera.
 
Hongera saana.... Your wife has a perfect natural complexion....

Mwenyezi Mungu awabariki katika maisha yenu ya ndoa...
 
Huyo ni wewe kweli au umenyakua tu picha ya wengine na kuitundika hapa? Na kama kweli ni wewe, je, umejiridhisha kabisa kuwa huyo ni "mke mwema"? Kama ndiyo basi hongera.
Mkuu huyo ni mimi kabisaaaa na ahsanteni sana ndugu zangu, "Apataye mke apata kitu chema kutoka kwa Mungu"
 
umeona mwanya?lol... usitamani mke wa jirani yako, wala ng'ombe wake, wala mtumwa wake, wala chochote alichonacho. nimekumbuka tu amri sijui ya ngapi,mafundisho ya katekismo,lol
hongera...she looks so beautifull.....
<br />
<br />
 
kaka, hongera sana! u look very handsome. muambie bibie salamu zangu ni kuwa ashike sana alichonacho,asije mtu akaitwaa taji yake.
<font size="3"><font color="#ff0000">Mkuu huyo ni mimi kabisaaaa na ahsanteni sana ndugu zangu, &quot;Apataye mke apata kitu chema kutoka kwa Mungu&quot;</font></font>
<br />
<br />
 
Hongera sana!! Wifi yetu looks amazingly stunning!! Nawatakia maisha mema na ya baraka ndani ya ndoa yenu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom