Weekend Special for Dar Jf member's only

tete'a'tete

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
472
62
Nimefikiria haya maisha nimeona ni mafupi sana kutokana na mambo yanayotokea katika nchi yetu na katika jamii kwa ujumla ajali/ufisadi na magonjwa na mambo mengi mengi!! nimetamani sana  JFs wa Dar tukutane  wekeend moja kwa lengo la kufahamiana/kufurahi/tunywe/ tubadilishane mawazo mawil matatu/na ikiwezekana tupate kudance na kuchangamsha miili yetu/sasa wana Jf hili swala mnalionaje?? mie nipo Dar... hili ni wazo langu tuu...
 
Back
Top Bottom