Watu hawa ni hatari kwa mkeo/ mchumba/ girl friend | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu hawa ni hatari kwa mkeo/ mchumba/ girl friend

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Aug 26, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  Mpaka rangi,
  Mzaire wa saluni,
  taxi driver,
  muuza genge,
  muuza chips,
  mwalimu wa mazoezi
  yaani hawa jamaa ni noma kidogo kidogo unaweza ukakuta anammega umpendaye. Hawa wana mivuto sana kwa mabinti.
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  Aug 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hahahahaha lol..
  Kweli ni mwisho wa wiki..
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  some truth!
  Na akiwa HSB, ndo imekula upande!
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  yaani hao wa redi wanakupa na ofa ya kuosha miguu na kuifanyia massage bure
   
 5. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #5
  Aug 26, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Amege tu ila nisijue...
   
 6. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Bujibuji weekend ikiwa inakaribia unakuwa unamambo sana,unaweza kudhibitisha hilo swala?
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  aaaaaaaaah jamani ina maana hao wake/girlfriends zenu ndo mmewashusha hivi? kwamba hawana uaminifu kiasi hiki mmmmmh
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  kweli?
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Tena weekend ndio kipindi kizuri cha kufanya miadi, halafu maangamizi yanafanyika katikati ya wiki
   
 10. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Haya mambo ni mazito sana,hasa kwa mabinti wanao penda vya bure,ukipita pale mwenge siku kama ya kesho hivi dahaaaa utachoka,utakuta mtoto wa kike ameinuliwa mguu juu alafu kavaa sketi au gauni,pata picha yake,inakuaje hicho kitu mapaka rangi full kumsugua,mwisho wa kazi bint anakwambia amepungukiwa,mapaka rangi anakubali siku ya kwanza,ya pili,siku ya tatu ................................
   
 11. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #11
  Aug 26, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Sure...
  Kwani Buji we unataka nanihii lote we mwenyewe, utamaliza?
   
 12. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  ukijua kama demu wako anamegwa inatakiwa uwe mpole bila kufanya hivyo unaweza kuua mtu maana mapenzi bana achaaa tu,kikubwa usijue kama jamaa anakula mzigo.
   
 13. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  halafu wale jamaa wa mwenge hawataki kupaka rangi tu eti hadi wasugue mguu mpaka juu hata huwa sielewi ukikataa upakwi rangi sijui kuna uhusiano wa miguu na kucha?
   
 14. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Inategemea mkuu wengine wanakula peke yao hadi siku ya kifo ila ni wachache sana kati ya mia labda kumi ndio wastaarabu wengi wao ukiomba zigo tu shwari hadi unashangaa vipi tena hapa,kuna EPA nini?mwisho wa siku taratibu unakula zigo kama lako vile.
   
 15. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #15
  Aug 26, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  kuna pia fundi umeme,
  muuza bucha,
  House boy!!
   
 16. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #16
  Aug 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Bebii huko kote kutegwa ukikubali tu kutegwa jamaa anamega hivi hivi mwisho wa siku unabaki kutoamini duhuuu sulphadoxine kanimega hivi hivi.
   
 17. JS

  JS JF-Expert Member

  #17
  Aug 26, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tehtehtehtehtehteh....very true
   
 18. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #18
  Aug 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Rejao umenikumbusha kitu hapa,home kila fundi umeme akija kitu cha kwanza kuomba maji kwa housegirl,siku ya kwanza alifanya hivyo siku ya pili,siku ya tatu tena,nikabaki kuguna mtu mzima kumbe jamaaa kasha rekebisha muda mrefu,haya mambo bana magumu sana.
   
 19. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #19
  Aug 26, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  halafu wasambaa wote kwani tanga kuna chuo cha kuosha na kupaka wanawake rangi?
   
 20. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #20
  Aug 26, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  muuza bucha analipa bwana daily maini dah
   
Loading...