Umegundua kuwa mwanao kashikwa na Gubeli!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398

Hebu chukulia kwamba, una mtoto ambaye umempeleka shule ya kulala au bweni. Huko anaishi hosteli na sio kwenye bweni. Halafu unashangaa kwamba, maendeleo ya mtoto kitaaluma hayako sawa na pia anaonesha kama hajatulia.

Unapoamua kufuatilia shuleni unabaini kwamba mwanao anahudhuria masomo mara chache sana. Lakini mwaya zaidi unabaini kwamba haishi kwenye Hosteli ambayo ulimlipia kuishi, badala yake unabaini kwamba anaishi na shangingi au Gubeli fulani ambalo limejichubua hadi kwenye ukucha.

Hebu niambie kama ni wewe ambaye umebaini jambo kama hili ungefanya nini? Kumbuka mtoto wako bado ni mdogo akiwa hazidi umri wa miaka 17.

Kukaa nae chini umuelimishe madhara ya anachokifanya na umuhimu wa kile alichofuata shule maana inawezekana hajui na wala hajajua umuhimu wa elimu yake wala shule

Ni kukaa naye chini ni kumpatia elimu rika make vishawishi ni vingi hasa mijimama inayo penda dogodogo

Hapo ni kichapo heavy then namuamisha shule na huyo shangingi namchukulia hatua za kisheria.

namrudisha aje akae nyumbani na asome shule ya kutwa tu..... kuna jamaa alikuwa anasoma mazengo sec enzi hizo aliwekwa ndani na jimama lipika gongo maeneo ya kikuyu mpaka akasahau shule,kipindi cha mwishoilibidi jamaa zake wawe wanamfuata huko ili aje kufanya national form fourm exams kaw bahati nzuri alipiga div two.... so ni hatari sana kwa vijana wadogo hasa under 18 mana yeye atakuwa anaona ni sifa!!!!

Hebu niambie kama ni wewe ambaye umebaini jambo kama hili ungefanya nini? Kumbuka mtoto wako bado ni mdogo akiwa hazidi umri wa miaka 17.

Zingatia alama nyekundu yawezekana akawa na miaka 13,14 15 au hata 16.............

Ntamrudisha nyumbani awe day scholar ili nipate muda wa kuongea nae mara kwa mara na kummonitor kwa karibu zaidi mienendo yake na kumwadhibu pale inapobidi.

na hawa watoto wanaoenda india na kuishi kama wake wa vijana wa kibongo kule je???

namrudisha aje akae nyumbani na asome shule ya kutwa tu..... kuna jamaa alikuwa anasoma mazengo sec enzi hizo aliwekwa ndani na jimama lipika gongo maeneo ya kikuyu mpaka akasahau shule,kipindi cha mwishoilibidi jamaa zake wawe wanamfuata huko ili aje kufanya national form fourm exams kaw bahati nzuri alipiga div two.... so ni hatari sana kwa vijana wadogo hasa under 18 mana yeye atakuwa anaona ni sifa!!!!

duh! Jamaa ni kichwa kweli yaani pamoja na kuwekwa ndani bado aka-score two?

Inabidi utulie uzungumze naye na kama kuna tofauti sana ya umri huyo muhusika sasa nita deal naye vizuri.

Hebu chukulia kwamba, una mtoto ambaye umempeleka shule ya kulala au bweni. Huko anaishi hosteli na sio kwenye bweni. Halafu unashangaa kwamba, maendeleo ya mtoto kitaaluma hayako sawa na pia anaonesha kama hajatulia.

Unapoamua kufuatilia shuleni unabaini kwamba mwanao anahudhuria masomo mara chache sana. Lakini mwaya zaidi unabaini kwamba haishi kwenye Hosteli ambayo ulimlipia kuishi, badala yake unabaini kwamba anaishi na shangingi au Gubeli fulani ambalo limejichubua hadi kwenye ukucha.

Hebu niambie kama ni wewe ambaye umebaini jambo kama hili ungefanya nini? Kumbuka mtoto wako bado ni mdogo akiwa hazidi umri wa miaka 17.
Dah!nakumbuka npo form 6 kuna jamaa yangu mmoja alidanganya kwao anakaa hostel kumbe anaishi kwa jimama matokeo yake necta alipata div 0

Kukaa nae chini umuelimishe madhara ya anachokifanya na umuhimu wa kile alichofuata shule maana inawezekana hajui na wala hajajua umuhimu wa elimu yake wala shule
haya matoto yakishaonjeshwa huwa hata kama ukifanyaje hawezi kuelimika! njia rahisi ni kutandika viboko vya kutosha mtoto halafu unalikamata hilo lishangingi unaliweka segerea likaozee huko

Kazi ndogo tuu, kama hili ghuberi ni kazidi miaka 21, namchukulia police na ninamfungulia kesi ya Kubaka na kumtorosha mwanafunzi shuleni ,baada ya hapo, nampa darasa refu mwanangu halafu nambadilisha shule sababu shule hiyo inaoneysha kiasi gani isivyo makini na wanafunzi walio boaring , pia nadhani nitahitaji maelezo marefu kwanini shule imeshindwa kugundua mwanafunzi wake halali bwenini na kama sijaridhishw a nitachukua hatua za kisheria kuishtaki shule kwa kumweka mwanangu /mwanafunzi kwenye mazingira hatarishi.

Kukaa nae chini umuelimishe madhara ya anachokifanya na umuhimu wa kile alichofuata shule maana inawezekana hajui na wala hajajua umuhimu wa elimu yake wala shule
ameisha onja utamu wa mbunye huyo, utamshauri nini tena?

Similar Discussions

Back
Top Bottom