chatroom

chatroom

mzabzab

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Posts
46,172
Reaction score
90,526
hivi humu jf kuna chatroom? kama ipo naomba mnielekeze jinsi ya kujiunga.
 
Ilikuwepo nikaamua kuifunga, mimba zisizotarajiwa ziliongezeka sana kiasi kwamba wana jamvi wengi wakawa wako busy na clinick na kupelekea michango jamvini kupungua
 
Ilikuwepo nikaamua kuifunga, mimba zisizotarajiwa ziliongezeka sana kiasi kwamba wana jamvi wengi wakawa wako busy na clinick na kupelekea michango jamvini kupungua

acha misifa, ulifunga wewe?, nwy mtoa mada naomba aende chitchat.
 
Back
Top Bottom