Wapendwa marafiki zangu wana jf, naombeni mnijuze haya mambo kwenye mapenzi yanakuaje ni hivi kuna wasichana wana wapenzi wao lakini wana mabuzi cha ajabu wanaweza kuwahendo wote na wapenzi wao...
Hii ni kuwakumbusha tu wale ambao bado wako wanagoogle jamani mke mwema
mwenzeni nilikutana na dada mmoja wa exim enzi hizo zijui yuko wapi siku hizi
mzuri anaumbo bashasha ilipofika siku ya...
wakuu,
Kuna msicha kutoka Bhutan (Asia) nilikutana nae mwaka 2008 chuoni (India) nikiwa mwaka wa pili yeye ndio alikua anaanza wa kwanza. Tulifahamiana kupitia kwa rafiki yangu...
Habari zenu, kabla ya yote napenda kuwapongeza wana JF wote kwa mchango wenu ambao mmekuwa mnaotoa kupitia humu JF.
Mimi tatizo langu kubwa linalonisumbua kifupi tu mi nikijana mwenye umri wa...
Kuna posti nimesoma huku ndani na ikanifanya niandike hii mada...kwa kifupi jamaa alikutana na mwanamke kwa siku moja akamtongoza na mapenzi akapewa...basi amekuja huku ndani anasema huyo mwanamke...
Hebu tuchukulie kwamba, umeoa, na ndoa yenu ina miaka 6. Katika ndoa yenu mmebahatika kupata mtoto mmoja wa kiume ambaye ndio anatimiza miaka 4. katika kipindi chote cha maisha yenu ya ndoa...
Fikiri zako fikira, ufikiri kila tendo,
Fikiri lilo na dhara, ufikiri na Ia pendo,
Fikiri lilo tohara, ufikiri na uvundo,
Fikiri fikiri tendo, Ia amani na...
Za sahizi wanajamii. Ni siku nyingi sijajiunga nanyi lakini leo ninahitaji msaada wenu wa mawazo. Nina uhusiano wa mapenzi na msichana mmoja toka 2007. Ni muda mrefu sana lakini kinachonishangaza...
Ilifika siku ya kusafiri kwenda safari ya mbali kidogo ambapo gari hulazimika kuondoka alfajiri sana....! Ni kwa sababu hiyo nililazimika kuondoka nyumbani jioni nikalale guest karibu na kituo cha...
Jamani naitaji msaada mkubwa sana, wa mawazo na saikolojia. Mimi nina mke nimezaa nae. Tangu tufunge ndoa ni miaka 4 sasa.
yeye yuko Mkoani mimi niko chuoni Dar es Salaam kimasomo elimu ya juu...
Nimewahi kuwa na mpenzii ambaye nilimkuta akiwa bado kigoli katka mahusiano yetu niligundua alikuwa mwongo sana na kila kitu yeye ni mbishi sana ukimkataza kitu atakubali kuacha ila siku hiyo hiyo...
Mimi nina gf, ni mzuri na ninampenda sana. Tatizo lake ni kwamba tunapokuwa kwenye stage anaumia sana hasa wakati wa kuanza. Nini chanzo cha tatizo hili na nifanyeje ndg zangu?
Habari jukwaa la starehe! Bwana me niko hapa kuwaambia senkyuu kwa maushauri yenu ktk post yangu ya mwisho..in dilema...! Mnaikumbuka? Nimemaliza field salama, matokeo yamekuwa poa, hakuna kijana...
Kutokana na malezi au mazoea au pengine tabia zilizo katika mila na desturi zetu, tumejikuta mara nyingi tukiwafanyia wapenzi, waume au wake zetu tabia ambazo kutokana na mazoea hayo tunadhani au...
One afternoon a husband arrived home with sadnews for his wife...
Husband: Wife, I just received a call, mother(mama) passed away. Shall we go
to town and get some necessities for the funeral...
Nina mpwa wangu ni kijana tu ana 40yrs alikuja kuomba msaada wa kwenda kufanyiwa operesheni ya Busha huko Kisarawe nasikia hospitali ile ni wataalam sana wa kupasua mabusha. Tumechangishana na...
mimi nimeoa jirani sana na nyumbani kwetu. tangu nimeoa sijawahi kulala ukweni kwa sababu ni mwendo wa dakika tu kutoka kwetu hadi ukweni. rafiiki yangu anasema kuwa kitendo cha kutolala na mke...