Hatimaye Nimevunja mwiko...!

Sabry001

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Messages
1,064
Points
1,195

Sabry001

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2011
1,064 1,195
Habari jukwaa la starehe! Bwana me niko hapa kuwaambia senkyuu kwa maushauri yenu ktk post yangu ya mwisho..in dilema...! Mnaikumbuka? Nimemaliza field salama, matokeo yamekuwa poa, hakuna kijana alienipata kati ya wa3 waliokuwa wanatishia amani na elimu yangu na above all mkuu wa shule amenipa katempo mpaka nirudi chuo. UTU WANGU UMESITIRIKA NA ZAIDI STAF YOTE IMENISALUTE CUZ KILA MDADA ANAEKUJAGA HAPA LAZMA ALIWE ILA ME NIMEVUNJA MWIKO...! Idumu JF, zidumu fikra CHANYA ZA wana JF wote....!

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
38,215
Points
2,000

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
38,215 2,000
he heee mpe hongera mkuu wa chuo lol
simba mwenda pole ndo mla nyama....
rudi sasa hapo uanze kazi..uje na thread nyingine lol

Sabry001

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Messages
1,064
Points
1,195

Sabry001

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2011
1,064 1,195
he heee mpe hongera mkuu wa chuo lol

simba mwenda pole ndo mla nyama....

rudi sasa hapo uanze kazi..uje na thread nyingine lol

nirudi wapi wakati cjaondoka? Nije na thread nyingne ya nini? Saa nyingine we ze bosi una.....

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
47,285
Points
2,000

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
47,285 2,000
Habari jukwaa la starehe! Bwana me niko hapa kuwaambia senkyuu kwa maushauri yenu ktk post yangu ya mwisho..in dilema...! Mnaikumbuka? Nimemaliza field salama, matokeo yamekuwa poa, hakuna kijana alienipata kati ya wa3 waliokuwa wanatishia amani na elimu yangu na above all mkuu wa shule amenipa katempo mpaka nirudi chuo. UTU WANGU UMESITIRIKA NA ZAIDI STAF YOTE IMENISALUTE CUZ KILA MDADA ANAEKUJAGA HAPA LAZMA ALIWE ILA ME NIMEVUNJA MWIKO...! Idumu JF, zidumu fikra CHANYA ZA wana JF wote....!

Ajidhaniaye amesimama aangalie asianguke, ndege mjanja hunaswa na tundu bovu. Chukua tahadhari usije uka fall kwa mbwia unga. Siku ukija kugundua ndio mko kwenye honey moon

Sabry001

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Messages
1,064
Points
1,195

Sabry001

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2011
1,064 1,195

Ajidhaniaye amesimama aangalie asianguke, ndege mjanja hunaswa na tundu bovu. Chukua tahadhari usije uka fall kwa mbwia unga. Siku ukija kugundua ndio mko kwenye honey moon

haha Buji...

CORAL

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Messages
2,649
Points
2,000

CORAL

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2011
2,649 2,000
Akiliwa kwa hiari yaani kwa kupenda mwenyewe kuna ubaya gani? Sidhani kuwa yeye hataki mpenzi ila hakutaka wanaume wanaotumia cheo ili kumpata. Isitoshe sio lazima afukuzie hiyo ofa ya tempo aliyopewa. Anaweza kufanya kazi sehemu nyingine. Sababu ya kueleza kuhusu hiyo ofa ni kunyesha kuwa 'at least' alindoka kwa amani hapo shuleni. Nampongeza sana.

Forum statistics

Threads 1,382,103
Members 526,267
Posts 33,819,720
Top