Ombi: Nahitaji mwana-JF (KE) wa kubadilishana naye mawazo wikiend hii. Just kubadilishana mawazo!

kiritimba

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
603
88
Nahitaji kupanua wigo wa mambo ya ki-social kwa hiyo naomba mwana-jf yeyote yule wa kike aniPM ili tuweze kuona namna gani tunaweza kuonana wikiendi hii kwa ajili ya kubadilishana mawazo tu! Naomba PM.
 

kiritimba

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
603
88
Sasa umeshasema this weekend mambo ya next yametokea wapi? na je ukimpata bibie for this w/end utamtosa?

dalili zinaonesha nimegonga mwamba for this wikiendi. niwekee tu nafasi yangu ya wikiendi ijayo. sitachoka kusubiri.
 

Lily Flower

JF-Expert Member
Oct 16, 2009
2,553
1,195
Lily Flower,.....ameomba mu_MP,halafu wewe ndio unampotezea kiaina..............fanya hivyo bana jamaa kasema yuko mpweke sana

Igwe nilikuwa namtakia kila la heri tu maana kama ningeafiki ningemPM, sijampotezea dear........
 

Lily Flower

JF-Expert Member
Oct 16, 2009
2,553
1,195
dalili zinaonesha nimegonga mwamba for this wikiendi. niwekee tu nafasi yangu ya wikiendi ijayo. sitachoka kusubiri.

Usikate tamaa siku ya leo bado ndefu kuna kesho utafanikiwa tu na nakushauri ukimpata ukae nae for w/ends zote.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom