Hii msitu ya wanaume......... ni sunna au ni uchafu tuu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii msitu ya wanaume......... ni sunna au ni uchafu tuu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kigarama, Sep 21, 2011.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2011
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kwa watu wenye kufuata misimamo fulani ya kiitikadi kufuga midevu ni swala la Sunnha. Lakini mijanaume mingi hadi sehemu nyingine nywele huwa hazinyolewi hadi wapigizane mikelele na wapenzi wao.

  Sasa na hizi nywele za maeneo mengine nazo kufuga ni sunnha au ni uchafu wa wanaume? Jamaa wengine hawapitishi wembe mpaka wajue wanakwenda kukutana na"girlfriend" mpya.

  Wanawake tupeni uzowefu wenu hii staili ya "urastafariani" hadi kwenye maeneo nyeti haiwakeri?
   
 2. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,686
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Ukidhani wewe si mwendawazimu pima kwanza uhusiano wako na machizi!!
   
 3. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,758
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  dah! Aiseee.....!
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 27,497
  Likes Received: 1,315
  Trophy Points: 280
  Nafikiri hata wanaochangia wawe under MOD!
   
 5. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,069
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mzee na misitu ya wanawake je?
   
 6. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,690
  Likes Received: 1,127
  Trophy Points: 280
  crap of crapiest ever..................
   
 7. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,619
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Faiza Foxy Hendisamu wako c amejiwekea Hinna kwenye huo Mzuzu???...
   
 8. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  sasa umeionaje misitu ya wanaume wenzio?? au nawewe ndo......
   
 9. T

  Topical JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,177
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Unaongelea ndefu au nini?

  Kama ndefu wanapenda sana dada zetu..kwa hiyo ni mtaji
   
 10. data

  data JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 13,085
  Likes Received: 2,898
  Trophy Points: 280
  nonsense,hopelesss.. upuuziiii
   
 11. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,522
  Likes Received: 1,230
  Trophy Points: 280
  hata mimi niltaka kumuulza hilo swali.. "mtt co riziki"
   
 12. data

  data JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 13,085
  Likes Received: 2,898
  Trophy Points: 280
  huyu jamaa(kigarama) kama ni "Me" kaniacha na maswali meengiiii... Mashoga tunao humu!!!!!!!
   
 13. Baba Erick

  Baba Erick JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mhuuh! Kesi hiyo kaka
   
Loading...