Asilimia 60% yanawanaofunga ndoa wamechavuana NGUO ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asilimia 60% yanawanaofunga ndoa wamechavuana NGUO !

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Sep 13, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,559
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  moved to another jukwaa​
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  we ulitaka wasivueane mpk ndoa?
  kwa maradhi aya ya sasa ivi asi utakuwa umekaribsha talaka zisizo na mpango?

  sawa..mpk ndoa..usiku wa kwanza ndo unakuja shtuka jamaa adindi..jamaa amesinyaa maeneo yale...SI YULE ULIYEMZANIA..we upo mwaka wa kwanza chuo yeye dzain yupo la tatu b...APO APATACHIMBIKA?cz mhimili mkuu wa ndoa ni apo na apo penyewe HAPAPO?

  wanaume weng skuizi wana matatizo ya nyet zao na wa swaga izi weng wao wanajifanyaga waumini wa kakobe et tusidoo mpk ndoa..kumbe ni mwongo anataka kuficha mapungufu yake....mwisho wwa siku ndo unajua ahh kumbe yule bwna hakuwa na nia nzuri?alitaka nisijue madhaifu yake?,......sasa hasira ya kugeuzwa ***** MWAISHOWE UZAA TALAKA....ahh kupimana muhimu..cz MATAPELI WENGI..thou mungu apend bt uhalisia ndo uo asa tufanyeje?
   
 3. u

  utantambua JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  No siyo 60% ni 101% kwa hilo sina shaka ni 101%
   
 4. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  pdidy leo umeamua na hizi post zako zinazo husu malavidavi .
   
 5. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Na wengi wanafunga ndio ili kutuchangisha maana tayari wanaishi kama mume na mke; kwa lugha iliyonyooka wanatufisadi wakishirikiana na wazazi wao ambao hujifanya watoto wao hawaishi pamoja hivyo tuwasaidie wakaanze maisha
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,559
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  naomboleza hii ni kwa wanandoa wote waliokufa kwenye meli yetu ya zanzibar jamani
   
 7. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hili swala kuepukika ni gumu sana wengi lazima wamegane kabla ya ndoa,sidhani kama imeshawahi kutokea mwanaume akaoa kabla ya kufanya ngono na binti.
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  huyu p didy huyu mi sisemi
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,559
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  karibu bebiiii
   
 10. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Aaaaa wasifanye kabla halafu wauziwe mbuzi kwenye gunia?
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,559
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  gaaga gaga
  sasa hao kwenye gitaa watauzika na nani kama sio nyinyi na mbinu ndio hiyo kujifanya wote bikira tukivuana yalaaaaahhhh kila mtu anasingizia ilitoka na baiskeli na wewe mwanaume na ule mchezo wa kula mbakishie baba hny hata sijui ilitokaje hapo mzigo ushabeba yalaahhhhhh
  unaambiwa ndoa ukiichokonoa sana uili ndio huku
   
 12. D

  Deck Joel Member

  #12
  Sep 13, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kweli ni vigumu mno kuepuka hilo, lakini inawezekana, itategemea makubaliano yenu, pia misingi mliyonayo katika imani zenu.
   
 13. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Mmmmh..kakufanyaje bebii?
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,559
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  kamiss mambo ya didy jamani si mnajua nilikuwa na msiba zanzibar kama si tulikuwa ikabidi nisurbir tuzike kwanza
   
 15. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mi nadhani ni muhimu kukaguana hata kama si kwa kufanya kabisa ili ujiridhishe na mali unayotaka kuuziwa au kununua. Atleast uishike ujue kama itakufaa au la. zaidi ya hapo ni kutafutiana lawama aisee.
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Sep 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,559
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  ya kwangu utaishika ikasimama ya kwake ntajuaje???embu carmel weka wazi hapa unaweza kutupa mbinu za kupunguza kugusana kabla ya ndoa ikawa carmel law respect mpaka church pls
   
 17. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2011
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mhh! kushika shika tena...unaweza kuwekewa feki mi nadhani bora ku-do bwana ili ujiridhishe
   
 18. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Nna jamaa yangu yangu ana msimamo wa kutongonoka, anadai ni dhambi. Kilichomkuta, demu wake kapigwa mimba na wajanja.
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,559
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  Embu tujadili sasas soln ya haya matatizo naona wengi wanaogopa kuingia bila kutest kuogopa mzinga je hii mizinga tutasaidiaje..m nimeona kuna waliokuwa vilijari kweli walipofunga ndoa aikuchukua miezi sita wakaanza kuleta mattatizo kwenye ndoa na mimi nkiwa master w kusikiliza kesi zao..lakini mwanaume najua fika na sikuwahi kujua shida hiyo itamtokea so yawezekana zile shida za mabinti kwenye ndoa zinafanya mwanaume anakuwa na kauowoga hadi cha ku do...mi nimeona kuna familia zikikasirikiana zinachofanya kunyimana unyumba na wanaweza kukaa hata miezi 3 na baada ya hapo mmoja kuamua kuchapwa nje kimoja na mwisho kuanza kuomba talaka akiwa kwenye ndoa .....mi nakumbuka wakati tumeanza kushindana na mama didy kipindi fulani ..maswala madogo tu lakini nikirudi hme walahi hata mawazo ya aipo naishia kuangalia vipindi \vya comedy ...mpaka nilipowaza hii itaisha lini yaani binti ananyanyua kabisa wapi anashindwa tu kuuchapa kibao kwa nini umelala ....so stress zingine nyumban huishia kuvunja uhusiano wa kinyumba ....mungu akawatoe kwenye stress in jesus name furaha ya milele iwe kwa kila mwana jf
   
 20. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #20
  Sep 13, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 419,797
  Trophy Points: 280
  mapenzi ni zaidi ya kujaamiana..........................................lol.................
   
Loading...