Ni uelewa mdogo wa wazazi au.....???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni uelewa mdogo wa wazazi au.....????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtalingolo, Sep 21, 2011.

 1. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Habari wana jamvi, naimani wengi wenu bado mpo kwenye maeneo yenu ya kazi...

  Kwakifupi mimi ni kijana wakiume miaka kati ya 20-25, nafanya kazi kwenye duka la babaangu ya kuuza spare za magari,
  Eneo lilipo duka nalouza kuna maduka mengine ya bidhaa tofauti na kati ya hayo kuna duka moja la vipodozi., kwa kawaida eneo lolote lakazi kuna mazoea flani baina ya wanajimii wa eneo husika..
  Ishu ni kwamba mama mwenye duka la vipodozi kamwajiri mfanya kazi ambae huwa wanamletea chakula watoto wa huyo mama ambao ni mabinti, sasa binti mmoja anamazoea yakuja dukani mwangu kunipa hii anapokuja kuleta chakula,
  sasa leo binti kaja dukani ile tunapiga story mama yake katokea, binti kaondoka zake, sasa mama yake kanikoromea na kufoka kuwa niache uhusiano na mwanae, hata nilipomueleza kuwa hatuna mahusiano hajanikubalia, kamfata mpaka baba yangu nae kamwambia kuwa mimi namahusiano na mwanae, mzee hajaniambia kitu kwa sasa ila najua tukirudi home atanipa nae vyake, sasa sajui hata niwaambiaje ili wanielewe...

  Mawazo yenu tafadhari...
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mhhh hapo pagumu maana binti huna mahusiano naye ila kaja kwako dukani kukaa na binti anafaa kuwa mke
  Mhh hapo subiria kibano tuu
  Ila wazee huwa hawajali sana maana wanajua hapa mtoto wangu ni kidume
   
 3. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mr.Rock mie nachotaka waelewe kuwa sina mahusiano na binti yao, coz mazaake kanifokea na kadai akipata mimba wananiachia mzigo, sa akipata na wakiti mie sina uhusiano naye si itakuwa msala kwangu???
   
 4. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mweleze baba yako hali halisi na wazazi wako waongee na wawende kwa huyo mwenye mtoto wakae nae kikao mbele ya binti mhusika
  Akiri mwenyewe kwa mdomo wake na wapigwe marufuku kuja kwako kama wanaona kuja kwako ni issue
  Na sio wewe uliyewaita ila wanakuja wenyewe so waambie wazi kabisa hutaki kuwaona dukani kwako
   
 5. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Mawazo yangu sasa!...

  1.Kwanza naona haujielewi kabisa kiasi kwamba hata umri wako mdogo haujui..Jibu la hili_hebu waulize wazazi wako kwamba ulizaliwa mwaka gani
  2.Wewe na huyo dada(anayekupa hii)mnataka kujenga mahusiano ya kimapenzi,na huyo mama kawashtukia na kaamua kukupiga bit umuache mdada,..kama vip komaa mpaka kieleweke(kama unampenda lakn)
  3.Maadam umemuambia hamna mahusiano ya kimapenzi na mtoto wake na kama ni kweli basi kuwa na amani moyoni,..na hata msure akidinda home wewe mwambie ukweli wa mambo hakuna haja ya kuogopa kitu ambacho haujakifanya.

  Nb:wewe una dhamira mbaya na huyo sister ndio maana una weweseka ovyo
   
 6. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
   
 7. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Yeah hiyo hata mimi nimeifikiria, ni bora tuitwe wote then tuulizane kisha mipaka iwekwe, coz sijamfata kaja mwenyewe then iweje niwe na kosa mimi

  ( kweli akinya kuku ma...., lakini kwa bata ni uhar.....)
   
 8. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Hapo na wewe ulishindwa kusoma alama za nyakati bana
  Binti alikuw akatika mazingira ambayo mama yake alijua tuu kuwa hapo nyie mna mahusiano ndo maana kawa mkali
  So jiandae kujibu mashambulizi na binti inavyoelekea kwako kashafika
   
 9. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  1. IGWE nauelewa tosha juu ya umri wangu, kuweka hvo ni kufunika pombe tu mwanaharamu apite.

  2. Sijawah kuwa na mahusiano na huyo binti tangu nimeanza kumuona machoni mwangu, so sina nia mbaya nae.

  3. Kwa maelezo ya mashuhuda wa tukio ni kwamba maza yule anatabia hyo akimuona binti yake anaongea na wanaume, na wengi kesha wakoromea sio mimi wakwanza..

  Kwahyo sioni kosa langu hapo....
   
 10. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mkuu labda kama yeye anahisia hizo but binafsi walaa, tena hata msisimko wa kuwanae sijawah kupata,
   
 11. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Si unajua wazazi wanavyojua kuangalia
  Ameona tuiu hapo akajua na wewe ni mmoja wao
   
 12. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  binti ana umri gani? kama ni underage wazazi wana haki kabisa ya kuwa apprehensive.
   
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mkuu za kupotea
  Au bado unaendelea kufanya mambo yako
  Mhhh huoni jamaa mwenyewe nae ni underage kwa maana ya mtu wa kuwa kwenye real relationship
   
 14. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Mkuu at 21 unatakiwa uwe responsible na maisha yako,huyu kijana awe mwangalifu maana akizoea vibinti under age ataishia kula mvua 30 with no parole.
   
 15. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #15
  Sep 21, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  mkuu nafikiri haijui SOSPA vizuri au anaisikia tuu
  KAtika umri huo hajajua kuw ahuyu binti anamtaka au ana nia gani mkuu
   
 16. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #16
  Sep 21, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nadhani atakuwa kati ya miaka 20 hadi 23..
   
 17. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #17
  Sep 21, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hyo SOSPA kweli sina ujuzi nayo mkuu..
   
 18. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #18
  Sep 21, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ukishapewa vyako tena nyumbani lete tena jf imekuaje
   
 19. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #19
  Sep 21, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kama unampenda huyo binti fanya mpango wa kufomalize uhusiano wenu haraka. Kama huna na wala humtaki, haraka mwekeewewe kizingiti hata kabla ya wazazi (mama) wake. Vyenginevyo utashtukia unatwangwa ya mkeka au kubambikiziwa kichanga kisichokuwa chako. Take care!
   
 20. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #20
  Sep 22, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mpaka muda huu mzee hajanambia kitu, yaani kauchuna kanakwamba hakuna alichoambiwa..
   
Loading...