Eti Nyie Dada zetu hii nikweli au mnasingiziwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti Nyie Dada zetu hii nikweli au mnasingiziwa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Sep 26, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  Jamani wadau wa hili jukwaa la MMU nilikuwa na rafiki yangu mahali tupata kirauli mitaa ya Oysterbay kuna baa inaitwa Trinit sasa jamaa akaniambia unamuona yule dada ana jamaa tunafanya naye kazi Siku hizi wadada wa maofisini ndiyo wamekuwa wadada poa unampa chake unaenda kubrudika wanakuwa wengi sehemu zao nizile baa zinazotembelewa na watu fulani niwengi ajabu hivyo usishangae kesho ukakutana na Demu mko naye ofisini kakupigia kimin na koko ya hatari yupo kazini na akikujua anakwambia ya hapa yaishie hapa!!!
  Kweli siamini kama kweli nimeona leo nije nayo hapa!!Wengi eti hadi kona baa wapo na wanamaofisi makubwa wanalipwa mishahara mizuri wengine kwenye mabenki wengine ni watumishi wa serikali!!
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mi sijui hayo mambo?
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hivi hii ni ishu mpya kweli?
  Mboni tokea enzi hizo ni hivyo?
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mbona mambo ya kawaida sana siku hizi... walianza wanafunzi wa vuo vikuu, sasa wamekuwa hao wadodo wafanyakazi, baada ya muda watakuja wake za watu... kawaida tu
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  Duh Mkuu sasa baada ya wake za watu watakuja Mama zao??aua?
   
 6. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  sawa wewe kinakuuma nini?si ununue kama unataka
   
 7. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hapo inahitaji moyo wa chuma kama una demu wake anafanya kazi kwenye maofisi makubwa..
   
 8. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  baada ya hapo watakuja wakuu wa idara,wakurugenzi,wake wa makatibu wa wizara mara wa mawaziri etc
   
 9. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mbona list ya wabunge waliokuwa kazini inajulikana? Walikuwa wanaanza na jiwe mbili kummega mbunge flani! Na yule mbunge mwengine alikuwa anaongoza jimbo flani la mji mkubwa hapa tz! Dah!
   
 10. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Yule Mh. Mbunge Mmoja kanuni yake ilikuwa ukimmega mara moja hakuruhusu tena urudie mara ya pili! Kuna jamaa yangu mmoja maarufu sana hapa bongo, na anaimbwa sana na bendi zile zenye wakongomani, alinieleza kwamba, yule mkuu ukitaka kumshusha bei kidogo anakuambia chupi yake ina thamani ya sh elf 50, na inavuliwa kwa kuchanwa yaani haivaliwi tena baada ya tendo.
  Ila unatakiwa uende kiheshima sana unaweza ukaumbuliwa vibaya ukiwa mapepe!
   
 11. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sikuizi hata sijui nani anafanya uchangu kwa shida au nani anafanya kwa raha zake,manake kama unamshahara hata iwe mdogo unauhakika na pesa mwisho wa mwezi nini kinawawasha baadhi ya wanawake wenzetu sijui ah haya wakishalipata wanalolitafuta watatulia.
   
 12. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kweli dunia inazunguka jamani.
   
 13. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  miaka ile tunasoma chuo kuna jamaa alienda buguruni na kuhuchukua dada poa......kumbe alikuwa ni dent tena class moja...kufika gest jamaa akamtambua demu na demu akasema...usimmwabie mtu....ila bado jamaa alitufikishia habari........

  so wapo wengi sana......na kuna wengine wa kimya kimya nao ni balaa kuliko maelezo...
   
 14. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #14
  Sep 26, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Haya mambo yapo sana na wanafanya kweli .Wengine mbona wanaishi na washkaji zao na wanaagana vyema kwamba naenda kukichanga.Bongo ni zaidi ya uijuavyo
   
 15. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  triniti unapafahamu? ni karibu na ubalozi wa Uganda mkabala na karume praimari, kila ijumaa kuna mziki mtamu sana pale,karibu Bebii,hao machangu usiwajali bana we njoo ule raha zako tu.
   
 16. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #16
  Sep 26, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,577
  Likes Received: 925
  Trophy Points: 280
  Ndiyo maana sipendi kuishi Dar,ntaendelea kuishi hukuhuku wilayani...!
   
 17. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #17
  Sep 26, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  huku ofisini kila mke wa mtu ana mwanaume na kila mume wa mtu ana mwanamke, tena mapenzi ni motomoto kupita unavyofahamu wewe, hata wale ambao waume zao wamewanunulia magari mazuri tena ya kifahari hawajali hayo wao wanangonoka kama kawa.
   
 18. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #18
  Sep 26, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  hawata fika huko tuttakuwa tumeshawapoteza kwa ukimwi "labda dawa igunduliwe" na ikigunduliwa dawa baasi ni mwisho wa dunia maana watageuka kuwa kuku kabisa vya chapchap na uchochoroni usiombe....
   
 19. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #19
  Sep 26, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  kwahiyo na wewe una wako. Inapendeza kwa kweli, maana huwa nikimuangalia my wife, nasikia uchungu sana kama kuna dume linaweza kumkula. For sure nikigundua nitatoa talaka, maana sitaweza kabisa kuvumilia kwa jinsi ninavyompenda.
   
 20. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #20
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Hapa jamvini utayajua tu, utake usitake. Hahahaaaaaaaaa!
   
Loading...