Kanidokeza kwamba huwa yeye akitaka kunanihii hataki kumask ile tree yake kwa sababu inakua kama ubuntu.hvyo ili yeye aenjoy lazima iwe kitu pure leather na yuko tayari ile flash yake ipate...
Matatizo ya ndugu au wazazi kuingilia ndoa ni suala linalotajwa sana katika kuvunjika kwa ndoa nyingi. Wengi wetu tunajua kwamba kwa mila na desturi zetu(ambazo ni potofu hata hivyo) ndoa inakuwa...
Natumaini wote mu wazima,
Tafadhali naomba mnisaidie kweli nahitaji ushauri.
Mimi ni msichana, Nina mpenzi wangu tumeanza nae uhusiano wa kimapenzi mwanzo wa mwaka huu na kabla ya hapo tulikuwa...
Nina gf wangu kila cku ninapowasiliana nae ananicctizia nisije NIKAMWACHA.sa kutokana na kulirudia hlo neno mara kwa mara,me naanza kuhic ananizuga 2 ili nimuone ananipenda sana.je hzi fikra zangu...
Ningeomba kusisitiza tena kwamba hupaswi kuwa mtumwa wa mwanamke au mwanaume. Leo hii kuna wanawake na wanaume ambao maisha yao ya ndoa yamekuwa ni jela zao wenyewe. Wanaume na wanawake hawa...
Imefikia wakati wazazi lazma tujue mahusiano ya watoto wetu. Si wakati wa kuwafanya watoto kujificha. Mahusiano si mabaya ila mabaya ni matendo yanayofanyika ndani ya mahusiano.
Ni bora...
Habar ya wakti huu wanajamvi,
naombeni mnipe njia za kumsahau mtu mloachana ukiwa bado unampenda coz naumia kupita kiasi jamani najitahidi kila namna nimsahau lakini wapi tuna mwezi na nusu sasa...
Wadau, habari za jioni?
Naombeni ushauri wenu katika hii ishu kuna binamu yangu mtoto wa shangazi yangu anataka kunifanyia uhuni kwa Girlfriend wangu.
Nina Mpenzi wangu ambaye tumeanza kuwa na...
Happiness is what u perceive..Have ur own checklist and once a substantial part of it is fulfilled then you are Happy!... Be happy my friend, cause no matter how long we wait, the World is Not...
Wanajf natumai mkop poa,kama sijakosea nadhani kuna wazazi humu na natumai itasaidia japo kidogo...samahani kama ntakua nimekosea sehemu ya kupost........
Can you relate? If so, here are eight...
I love this picture of the family which had sextuplets, "By the end of the day, Rozonno and Mia change 36 diapers, prepare 24 bottles, and dish out 12 bowls of cereals.
Nimejiuliza swali 36...
Jamani mwenzenu najiona wazi naelekea kumkosa yule niliyempenda kwa dhati ya moyo wangu kwa sababu kadhaa ambazo hazikuwa na uhalisia kama anavyodai mwenza wangu! Kiukweli nlibaini kuwa mwenzangu...
Jana nilifanya kitu kinacho ninyima raha sana, stori yenyewe ipo hivi.
Kuna msichana tuliwahi kuwa na uhusiano zamani kabla sijaoa na yeye kuolewa, kwa sasa anafanya kazi RITA. Kutokana na...
Nimepitia majadiliano yaliyomo kwenye vyombo vya habari hapa nchini (soma majira ya leo utaona kuna kichwa cha habari ukurasa wa 1 kisemacho "Mashoga Dar wataka kutambuliwa kikatiba" na kwenye...
Kwa wapenzi wa Jukwaa la MMU,
Wiki hii tumefahamishwa na moderators kuwa kuanzia sasa threads zote ambazo zitakuwa posted hapa MMU zitakuwa under moderation kabla hazijawa approved kama lilivyo...
Jitahidi kuhakikisha unalinda moyo wako na moyo wa mpenzi wako; usije ukaupasua na kuuumiza.
Wanandoa wengi hujikuta wamefika mahali ambapo ndoa haiwezi kuwepo tena (talaka) na tatizo kubwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.