Mwanaume mwenzio anapokutumia msg akisema I LOVE YOU,..unamuelewaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanaume mwenzio anapokutumia msg akisema I LOVE YOU,..unamuelewaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NG'ADA, Sep 30, 2011.

 1. NG'ADA

  NG'ADA Senior Member

  #1
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kichwa cha habari hapo juu cha husika..
   
 2. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kha!!! Mbona kawaida tu kwani yy hawezi kukupenda??? Ayo ni mawazo mgando!
   
 3. S

  Saas JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kawaida inategemea na wewe mwenyewe unavyoitafsiri hiyo message. KAZI NI KWAKO
   
 4. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Sioni tatizo liko wapi mkuu maana na inategemea huyo mtu anayekuambia hivyo mkoje nae yaani uhusiano wenu
  Maana haiwezekani mtu from nowhere anakuambia I love you na ni mwanaume
  Kama ni brother or your best friend ambaye ni zaidi ya nzdugu yako sioni tatizo lolote maana wote mnajuana
  Ila sio from nowhere mwanaume unamwambia mwanaume mwenzako unampenda
   
 5. MamaParoko

  MamaParoko JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2011
  Joined: Jan 14, 2008
  Messages: 465
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ah ah ah, stori imeni remind tukio limetokea leo:
  leo ofisini amekuja m customer anaongea na sales rep, wanapitia pitia specs za product, m customer akaomba aone picha ya product, sales rep akamwambia ngoja nikutolee brochure kabisa, m customer akamjibu kwa tabasamu bashasha, "You are not just a pretty face, are you?"
  hii imekaaje ukizingatia wote ni wanaume.
   
 6. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ukawaida uko wapi hapo? Kweli hayo ni mawazo mgando.........
   
 7. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Hii hapana haya mambo ya kusifiana sijui u r handsome na ni mwanaume mwenzako anakusifia haya mhhh anafika mbali huyo
   
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,917
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaa, huyo kastama kama siyo shoga basi atakuwa Basha huyo, Dah!
   
 9. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mhhh haya mambo ya kusifiana haya ni kwenda mbali zaidi ya hapo
  Maana mwanaume mwenzako anaanza kukusifu u r handsome hapo ni zaidi
   
 10. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  ndo wapi huko bwana rocky
   
 11. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hapo kuna mawili either anataka kuliwa tiGO au kula tiGO yako
   
 12. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280

  Mkuu kuanza kuambiana na kusifiana eti u r too handsome aahhh mambo gani hayo bana
  Mkuu nafikiri ujumbe unajua huyo jamaa anataka kuelekea wapi
  NA utafikiri ni kosa la mtu kuzaliwa handsome
   
 13. NG'ADA

  NG'ADA Senior Member

  #13
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tuwaondoe kaka na ndugu wengine wa karibu...anaweza akawa ni rafiki wa kawaida tu...mmezoea kuchat kwenye simu..mara puuuu li sms,..i love you!!
   
 14. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #14
  Sep 30, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  zantel...twanga kote kote babaaa
   
 15. NG'ADA

  NG'ADA Senior Member

  #15
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  akili kumkichwa!!
   
 16. NG'ADA

  NG'ADA Senior Member

  #16
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante feis buku...mwisho wa thread ntajua kama mawazo yangu mgando au laah!!!
   
 17. NG'ADA

  NG'ADA Senior Member

  #17
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapa kuna walakini mkubwa tu haswa huyo m customer atakua anapenda "ndogo"...
   
 18. NG'ADA

  NG'ADA Senior Member

  #18
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  khaaa...ila mwanaume hutakiwi uwe mzuri saaana!!!sasa wengine Mungu kawajalia kawaumba na sura kidogo zinafanana na dadake,..basi ndio kosa na yeye anatupia makosmetiks...noumer!!lazima ULAVIWE!!
   
 19. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #19
  Sep 30, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Rafiki wa kawaida anakutumia ujumbe wa I love you hapo ni lazima ujiulize mara mbili mbili ana maana gani
  Akiwa my best friend kweli ambaye tunajuana long time au ndugu hapo sawa
  Ndo maana nikasema sio mtu from nowhere ananijia na kitu kama hicho
   
 20. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #20
  Sep 30, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
   
Loading...